Ununuzi wa umeme kwa LUKU warejea

Ununuzi wa umeme kwa LUKU warejea

Habari nzuri..
Wale walisema midomo.. siku 10 ziliwafaa..munatia aibu.. kuna maeneo ya ujuzi hamujui mupigege kinywa kimya..

Uchunguzi muhimu wa ndani kwa ndani..

Pesa nyingi imepotea kwa wananchi kwenye yao.. ndani ya siku hizi..

Kazi iendeleee...
JF inazidi kunogile.. awamu hii..
hivi wewe huwa unaongea lugha gani..
 
Habari wakuu kutokana na kuwepo kwa tatizo la ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku lililo tokea kuanzia tarehe 17/05/2021.

Shirika la umeme TANESCO limesema sasa huduma ya ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku imerejea Tanzania nzima hivyo kwa sasa unaweza Nunua umeme kwa njia zote za awali yaani Simu, Benki au ofisini TANESCO.

Shirika liliomba Radhi hapo Awali.
Njia la LUKU ndio ipi?
 
wangetoa unit hata 10 kwa wateja wao wote japo ndogo lakini inatosha kuombea msamaha maana kuna watu wamechoma mafuta kuna watu wametumia gharama kutafuta luku wangefanya kitu kwa wateja wote free units kidogo kwa wateja wote.

Upande mwingine.. watu wameuza vile luku isipokuwepo.. ni lazima kununuliwa..
 
Habari nzuri..
Wale walisema midomo.. siku 10 ziliwafaa..munatia aibu.. kuna maeneo ya ujuzi hamujui mupigege kinywa kimya..

Uchunguzi muhimu wa ndani kwa ndani..

Pesa nyingi imepotea kwa wananchi kwenye yao.. ndani ya siku hizi..

Kazi iendeleee...
JF inazidi kunogile.. awamu hii..
Taraji p henson umerudi kwangu nguvu zote jf
 
Asante mhe. waziri Kalemani kwa kuchukua hatua.
huduma ya kununua imerudi
 
Back
Top Bottom