Ununuzi wa umeme kwa LUKU warejea

hivi wewe huwa unaongea lugha gani..
 
Njia la LUKU ndio ipi?
 
wangetoa unit hata 10 kwa wateja wao wote japo ndogo lakini inatosha kuombea msamaha maana kuna watu wamechoma mafuta kuna watu wametumia gharama kutafuta luku wangefanya kitu kwa wateja wote free units kidogo kwa wateja wote.

Upande mwingine.. watu wameuza vile luku isipokuwepo.. ni lazima kununuliwa..
 
Taraji p henson umerudi kwangu nguvu zote jf
 
Asante mhe. waziri Kalemani kwa kuchukua hatua.
huduma ya kununua imerudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…