popcorngirl
Member
- Aug 5, 2024
- 7
- 6
Barabarani ndio kiwandani?Habari wana JF,
Naomba kuuliza jamani. Ni utaratibu gani nitumie ili niweze kununua ngano kiwandani? Alie na ujuzi na hii issue naomba anielekeze
SijakuelewaBarabarani ndio kiwandani?
Kisome Kichwa cha habariSijakuelewa
Ahsante sana dearnenda pale azam mzizima au nenda pale azania opposite na quality complex utapewa utaratibu.
Kiwandani unatafuta ngano ya wizi......ngano nenda mashambani ingawa watu wavivu kulimaHabari wana JF,
Naomba kuuliza jamani. Ni utaratibu gani nitumie ili niweze kununua ngano kiwandani? Alie na ujuzi na hii issue naomba anielekeze
Ninauhitaji wa za viwandani dear. Ahsante kwa ushauri nimepokea.Kiwandani unatafuta ngano ya wizi......ngano nenda mashambani ingawa watu wavivu kulima
Thanks dearkama wa biashara aende mzizima au pale azania kwa kuwa bei ya livingstone inakuwa juu kidogo.
Shukran dearNenda kariakoo Livingstone home of azam.....uliza jina Ali Azgar utaelekezwa jengo alipo...atakupa utaratibu....zamani alikuwa Mahfoudh.
karibu.Thanks dear
kuna kosa la kiuandishi Extrovert ?Muwe mnazima hizo text prediction kwenye simu zenu
Halafu nilitype viwandani nashangaa imekuja kwa mfumo wa barabarani sielewi. Text prediction ya kwenye cm yangu ipo offMuwe mnazima hizo text prediction kwenye simu zenu