Ununuzi wa unga wa ngano barabarani

Ununuzi wa unga wa ngano barabarani

popcorngirl

Member
Joined
Aug 5, 2024
Posts
7
Reaction score
6
Habari wana JF,

Naomba kuuliza jamani. Ni utaratibu gani nitumie ili niweze kununua ngano kiwandani? Alie na ujuzi na hii issue naomba anielekeze
 
Nenda kariakoo Livingstone home of azam.....uliza jina Ali Azgar utaelekezwa jengo alipo...atakupa utaratibu....zamani alikuwa Mahfoudh.
 
Back
Top Bottom