Unusual cravings!

Unusual cravings!

Hii ndo naisikia leo!

Minyoo au upungufu wa chuma mwilini yaweza kuwa sababu lkn inaweza kuwa addiction Kama addiction nyengine?

Mara ya kwanza ulikula udongo lini?

Naamini sitapata addiction wala hamu hiyo kwa vile sijawahi taste udongo umekaaje au?


Gaijin:
you are probably right labda ni minyoo or something. Sijawahi kula ule udongo unaouzwaga so not sure how it tastes.I usually just pick some from the ground
 
Utakuwa na minyoo wewe. Nenda kapime choo.
 
Back
Top Bottom