Unyago iwe lazima

Unyago iwe lazima

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
Siku hizi maadili yamepotea, heshima imepotea, pesa imetawala...

Mchana unamuona binti mwenye adabu, hata wazazi (jamii)humuona hivyo...

Mama na familia yake anaonekana ni mpambanaji haswa, mumewe hujisia kuwa na mke wa shoka (Super woman)

Ni single mother anasifiwa vyema kwa kuhudimia familia yake,elimu ,mavazi na chakula...

Usiku anageuza mwili wake kuwa kitegauchumi onlyfans...

Hii ndio dunia ya leo simu hizi zina mambo mengi..

Ukidhani unamuona mwenyewe kumbe maelfu ya watu wanamfaidi kwa macho..


Siku hizi bikra zimebaki kwa wanyama tu Maana hata watoto siku hizi wanabakwa na watu wao wa karibu..

Dunia ya sasa ina mengi yasiyoelezeka kwa kalamu...

Sehemu za siri wanazo wachache wengi ni sehemu za umma...

Wazazi hawafundishi mabinti vitu vya kuwapa waume zao zaidi ya tendo. Tendo ambalo ashawapa watu zaidi ya 10 kabla ya kuolewa
 
Yeah naunga mkono hoja
mfn,unakuta binti mrembo lkn hana nidhamu hajui kufua,kuoga na kupika
 
Tupo hapa tunajadili kupinga kuhusu kupewa tendo kirahisi!, kesho sisi wenyewe tukinyimwa tunarudi kwa makasiriko hapahapa tunawasema kwanini wanatubania!.
Kweli binadamu haeleweki!
 
Tupo hapa tunajadili kupinga kuhusu kupewa tendo kirahisi!, kesho sisi wenyewe tukinyimwa tunarudi kwa makasiriko hapahapa tunawasema kwanini wanatubania!.
Kweli binadamu haeleweki!
Tunataka kuoa bikra
 
Back
Top Bottom