unyago una umuhimu gani katika mapenzi?

unyago una umuhimu gani katika mapenzi?

Hata kamai ule unyago wa kuchezwa unapungua lakini bado watu wanawafundisha mabinti wao polepole majumban.Karibu ya kuolewa wanamfundisha kisawasawa. Kwenye Kitchen party huwezi kufundisha vitu vya ndani. Pale ni mahali pa zawadi. Watakushangaa sana ukianza kumfundisha bi harusi mbele za watu tena na mawifi zake wako.

Mambo hayo ni muhimu kwa wanawake kwa sababu watu siku hizi wanalea watoto kama vile mayai hawafanyi kazi yoyote ile. Akifika kwa mume kupika hajui wala usafi hawezi achilia mbali mambo mengine ya ndani.
 
nimeanza kuelewa ukweli wa mambo. kisa gani cha kutuondolea wezao mila zinazoweza kutuletea raha duniani? sasa kuna bibi kutoka kusini, yeye anafahamika kama 'nyakanga' wenyewe wanaelewa. Ninaahadi nae yakukutana kesho ili anipe vidokezo vya elimu hiyo. Naomba desa la maswali, ili nikamuulize. Na majibu yote yatakuwepo jf.
 
Back
Top Bottom