nimeanza kuelewa ukweli wa mambo. kisa gani cha kutuondolea wezao mila zinazoweza kutuletea raha duniani? sasa kuna bibi kutoka kusini, yeye anafahamika kama 'nyakanga' wenyewe wanaelewa. Ninaahadi nae yakukutana kesho ili anipe vidokezo vya elimu hiyo. Naomba desa la maswali, ili nikamuulize. Na majibu yote yatakuwepo jf.