Unyakuo wa Trump hauchelewi kama wa Yesu

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Trump ametangaza unyakuo dhidi ya viongozi madikteta wanao ibania Marekani kuchota rasilimali, lakini hata wale wanaotesa raia wao huku wakishirikiana na serikali ya Uchina wanaweza kufikiwa na unyakuo.

Maduro wa Venezuela amekwisha nyakuliwa na baba Trump na sasa Yuko mawinguni huko USA. Hofu imezidi kutanda baada ya Leo Trump kutangaza uwezekano wa kumnyakua raisi wa Colombia ndugu Gustavo Petro ikiwa ataendelea na mpango wake wa biashara za dawa za kulevya.
Hakika unyakuo wa Trump sio wakufikirika kama wakiimani

Aishie huko Venezuela, huku matoto ya nguruwe yatakosa pa kunyonya.
 
UNYAKUO WAJA
 
1767521663121.jpg
 
Trump akinogewa kunyakuanyakua mpaka colombia mbona hata afrika atanyakua wengi tu? Mzee wetu museveni ataachwa kunyakuliwa? huyo mzee bora tu amuachie bob wine ushindi kuliko kuja kunyakuliwa kindezi
 
Back
Top Bottom