Mun
Mungu atamponya kamanda tunaendelea kijaza listi ya ushahidi
mwenyekiti wetu mbowe amezaa na mbunge wa viti maalum huku ana ndoa na binti wa mtei, kweli chadema hakuna wahuni
huo ni upotoshaji mkubwa jamani viongozi wengine watenda maovu pia msitetee bila uchunguziHata kwa Lisu ulisema haya haya, naomba hili pia lije kukutokea wewe au familia yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
sijawahi kusikia maana wana ccm ni waadilifu si wahuni kama chadema ndiyo maana mnpigwa mapangaumewahi kusikia diwani wa ccm kacharangwa mapanga ?
Kabla sijaanza kutoa laana zangu kwa Serikali ni vyema ungeongezea nyama taarifa yako ili tuweze kupata mwanga ni nini haswa kilichotokea.
Joined 14 January 2020sijawahi kusikia maana wana ccm ni waadilifu si wahuni kama chadema ndiyo maana mnpigwa mapanga
inahusu nini hyo tarehe kwahiyo bado nanyonya auJoined 14 January 2020
uliwahi kusikia polisi wa Tanzania wakihangaika na majanga ya Chadema ?
Mbona wana sisiemu hawapigwi mapanga wala kutekwa kama ilivyo kwa wakosoaji&vyama pinzani..watanzania mnakoelekea siyo kuzuri kwa kuzani kuwa viongozi wa chadema ni malaika hawana makosa katika jamii huyu kapigwa panga lakini kabla hata ya uchunguzi unakuja na uzi kuwa ccm ndiyo wamempiga je unauhakika gani? je kama alikuwa na visasi na watu wengine utajuaje acheni ujinga mnaotaka kuujaza kwa watu yatawarudia nyienyie je alikuwa kwenye kutano wa siasa? unajuaje kama humo kwenye mgahawa kama kazurumu mtu akawa anamfuatilia?acheni kabisa
Uongo utakusaidia nini ?🤔🤔🤔
- Inakuwaje kama alikuwa amechukua mke wa mtu?
- Inakuwaje kama alikuwa na ugomvi na baadhi ya watu?
- Inakuwaje kama ni vibaka walitaka kumpora?
- Inakuwaje kama yeye mwenyewe ni mwizi?
- Inakuwaje kama ni kisasi?
Kisa yeye ni Diwani haimaanishi kuwa kila tukio linalomtokea ni la kisiasa.
List ya ushahidi itasaidia nini wakati mwezio kaisha pata matatizo. Je wewe uko tayari fisiemu wakudhuru ili list ya ushahidi iongezeke? Chukua hatua mkuu achana na list]Hawajamaa hatuwawezi kwa sasa ni ngumu kupambana na mtu aliyeko tayari kuua kwa chochote na kwa lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani wewe ni mbishi kama mshipaUongo utakusaidia nini ?
pole sana mtanzania mwenzetuView attachment 1348474
Hapa ndio mahali ambapo Nchi yetu na siasa zetu zilipofikia.
Tunamshukuru Mungu kwa kumlinda Mh Ibra dhidi ya wahalifu wanaolindwa ambao walimvamia alipotoka kwenye mgahawa kuelekea nyumbani kwake .
Mungu ibariki Chadema
=====
Ibrahim John Mwampwani diwani wa kata ya Isyesye Jijini Mbeya, amevamiwa saa nne na watu wanne wenye Mapanga na kukatwa sehemu za kichwani. Ameshonwa nyuzi 6, Alikuwa anatoka kwenye Shughuli zake za biashara.
Maelezo hayajaeleweka!labda atakuwa alikuwa anatembea na mke wa MTU!kakuficha!!amevamiwa na kupigwa panga kwa sababu ni diwani wa Chadema , hilo ndio kosa lake
Yes inawezekana ni wapinzani wake kisiasa ,ila kuconclude ni wanasisiemu si sawa maana huwezi jua wakati mwingine watu wanakuwa na maadui zao kutokana namna ya maisha yao wanayoishi mitaani.......anyway kwasababu ndiyo upepo uliopo saizi basiView attachment 1348474
Hapa ndio mahali ambapo Nchi yetu na siasa zetu zilipofikia.
Tunamshukuru Mungu kwa kumlinda Mh Ibra dhidi ya wahalifu wanaolindwa ambao walimvamia alipotoka kwenye mgahawa kuelekea nyumbani kwake .
Mungu ibariki Chadema
=====
Ibrahim John Mwampwani diwani wa kata ya Isyesye Jijini Mbeya, amevamiwa saa nne na watu wanne wenye Mapanga na kukatwa sehemu za kichwani. Ameshonwa nyuzi 6, Alikuwa anatoka kwenye Shughuli zake za biashara.
Yaani wewe kila kitu unaweka siasa tu! Umesema alikuwa anatoka kwenye biashara zake kwa nini hufikirii kuwa hao ni vibaka waliomvamia? Kama unasema ni mambo ya kisiasa unawajua waliohusika kwa majina? Au siasa uchwara dada!amevamiwa na kupigwa panga kwa sababu ni diwani wa Chadema , hilo ndio kosa lake