Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akishakutuhumu tu umekwishaHivi hakuna njia nyingine ya kufanya upelelezi kuliko kutumia Brute force?
Hamza Mohamed wa Selander Bridge hakuwa gaidi. Pia usidhani kwamba alikuwa mtu mwendawazimu.Tunatakiwa tuache ukondoo. Ukifanyiwa hivyo, unatakiwa ulipe kisasi kwa namna yoyote ile hata kutumia miungu hadi polisi aliyekufanyia hivyo awe shoga au naye asisimamishe. Dunia ni uwanja wa fujo na ubaya ubaya tu.
Kayakoroga kusema hadharani, na mwenyewe kasema hapo kwamba mpaka usalama wa taifa walikuwepo hiyo siku anapewa kibano... Sasa sijui aliwajuaje, (Maana hiyo si kazu yao... Ingawa wapo wachache wasio na akili sawasawa wanaweza kushiriki kufanya hayo, au ni polisi njaa walijitambulisha hivyo kumtisha dogo aseme chochote anachokijua) ila kama wameshaiona hii nafkiri wanaweza kumuwinda wakammaliza kabisa. (kama kweli walishiriki hao anaowataja)Sasa hapo wasije wakamdedisha tu mana hawachelewi
Ni zaidi ya ushenzi, ni ushetaniKuna ushenzi mwingi sana
Ova
Bafagih amekuwa DED Kilwa tangu mwezi May 2023, hii imetokea mwaka huu.Hii mbona ya kitambo sana hii?? Nadhani ni ya mwaka juzi