komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Unayasema wewe hayo...
Kwenu una nyumba kijana...usijiona unamiliki ghetto hko uswazi basi na wewe ukajiona una nyumba na kuanza kuwadharau waliopanga masaki...

Kwanini unaandika makorokocho?