Tetesi: Unyama: Wamasai wa Ngorongoro waanza kukomeshwa, huduma muhimu zapigwa marufuku

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.

20220214_055118.jpg

Flyings Medical Service wanafanya shughuli za utabibu kwa njia ya anga maeneo ya mkoa wa Arusha na Manyara tangu nwaka 1983. Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Ijumaa, 11/2/2022 wamewapa FMS barua rasmi ya kusitisha huduma zao zote kwa wa-maasai ndani ya Ngorongoro. Huu ni UUAJI!
 
masai wameua watu, wametesa watu, wame nyanyasa watu... nenda wilaya moja ya monduli uliza wakazi kuanzia makuyuni mpakaa mto wa mbu kuwa kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu wamasai wame wafanya nini? na kwanini walikuwa wana nunua ngano na amila wana changanya kwa pamoja alafu wana mwaga katika mazao yao...

pia uliza sababu ya mifugo kufa hovyo kwa pamoja kama sabbu ni ukame?

kama una ndgu huko piga simu uliza raia wakujuze
 
Wakati huo huo, mkuu wa mkoa yupo, wa wilaya yupo, mkrugenzi yupo, RPC yupo

Enzi za hayati hawa wote hawana kazi!

Ngorongoro imekuwa wimbo mzuri saana sasa, lakini huko mbele kuna Giza iwapo diplomatisia haitatumika
Acha kuitisha serikali wewe. Wamasai na serikali nani mkubwa?

Kwa taarifa yako wamasai lazima wataondoka tu. Hatuwezi kama taifa kupoteza wanyama na watalii eti kisa kuna kakabila fulani hivi kasiko taka kuchangamana na binadamu wenzake kamegoma kuondoka Ngorongoro.
 
Why now , au ni vile serikali inamtumikia kibopa ?
serikali ipo kwa ajiri ya raia sio maslahi ya wachache au kikundi cha watu fulani... huko wanapo zungumzwa masai napafahamu vyema na abc zake... mpka jamaa ambaye ndio mhamasishaji wa wamasai kugoma ambaye sasa yupo masomoni kwa ajri ya PhD, piga simu uliza masai huko loliondo walivyo kwa sasa...

hakuna ambacho sifahamu kuanzia hapo muda mpaka sasa, kama vipo ni mambo madogo sana... tuna marafiki pia wa kimasai kwa koo zao huko ambao ukitaka kwenda taarifa zina fika kabla wewe haujafika na una pokelewa bila kujitambulisha.

ila ndio kama ulivyo ujamaa, tuna ishi kwa kuvumiliana kwa mapungufu yetu. wame pokonywa Ranchi mwaka jana mwishoni hapo monduli, na wana dai ranchi ni yao... je kweli ranchi ni yao? tuna wwaelwa ndugu zetu wana changamoto zao na tuna fahamu jinsi ya kuishi nao kwa maumivu hata akikuchoma bisu, sababu n ndugu zetu na binadamu tuna mapungufu yenu.

masai ni vulnerable group...

wewe unae subiria story za kijiweni au vijiweni kuhusu masai endelea kusubiria... na una safari ndefu sana kuwa elewa hawa watu na namna ya kusaidia

usipo peleka mtoto shule una shitakiwa, ukibaka una shitakiwa, kuoa mtoto una shitakiwa. je kwa masai? na masai wote wana furahia? na una waingiaje kuwa ambia waache?

kaa hapo hapo piga kelele twitter na wakina sijui ole nani... endeleeni kudanganyana mkihisi mna ambiana yaliyo wazi na kweli kuhusu hii jamii...

hawa pale selela kuna kipindi wana teseka hawana mfano, tuna ingia kusaidia... una leta siasa, kuna madarasa yanayo tembea kila masai walipo, una zungumzia hii ya huduma ya afya, yapo mengi.

kuna kipindi masai ana kula mchicha na ugali njaa mbya

endelea kukesha twitter....

nina picha na video nyingi za masai kuhusu haya mambo yao, na masai wengine walio elimika wana tumia kupata pesa toka kwa wageni
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.

View attachment 2118742
nasikia ngorongoro wamasai hawana vyoo, na pia hawana makaburi. watu karibia 120,000 wakifa huwa wanazikwa wapi? inasemekana wanaachwa waliwe na wanyama. hawa watu wanatakiwa wapelekewe jeshi ili tuone kama mikuki na mishale yao itashindana na jeshi. hawatakiwi kufumbiwa macho. nimeshangaa Ole ngurumo anapambana kabisa na usomi wote anapigana wamasai waendelee kubaki ngorongoro. kweli masai hata ukisomesha unatupa pesa tu.
 
Wakati huo huo, mkuu wa mkoa yupo, wa wilaya yupo, mkrugenzi yupo, RPC yupo

Enzi za hayati hawa wote hawana kazi!

Ngorongoro imekuwa wimbo mzuri saana sasa, lakini huko mbele kuna Giza iwapo diplomatisia haitatumika
wamasai kwamba wanaweza kushindana na serikali? na jeshi hata la polisi tu? au hata mgambo tu? mambo yenu ya kiporipori ya kutochimba vyoo huko ngrongoro na kutokuwa na makaburi kuacha wagonjwa wenu waliwe na simba tutawafundisha civililization. nakuhakikishia hata wanajeshi 10 wakitumwa ngorongoro wanao uwezo kuwaondoa masai wote watakimbia bila lubega. mmekuwa na dharau kwa serikali hadi mnajiona ninyi ni kanchi ndani ya nchi? hivi serikali inasubiri nini? hapa haihitaji diplomasia.
 
serikali ipo kwa ajiri ya raia sio maslahi ya wachache au kikundi cha watu fulani... huko wanapo zungumzwa masai napafahamu vyema na abc zake... mpka jamaa ambaye ndio mhamasishaji wa wamasai kugoma ambaye sasa yupo masomoni kwa ajri ya PhD, piga simu uliza masai huko loliondo walivyo kwa sasa...

hakuna ambacho sifahamu kuanzia hapo muda mpaka sasa, kama vipo ni mambo madogo sana... tuna marafiki pia wa kimasai kwa koo zao huko ambao ukitaka kwenda taarifa zina fika kabla wewe haujafika na una pokelewa bila kujitambulisha.

ila ndio kama ulivyo ujamaa, tuna ishi kwa kuvumiliana kwa mapungufu yetu. wame pokonywa Ranchi mwaka jana mwishoni hapo monduli, na wana dai ranchi ni yao... je kweli ranchi ni yao? tuna wwaelwa ndugu zetu wana changamoto zao na tuna fahamu jinsi ya kuishi nao kwa maumivu hata akikuchoma bisu, sababu n ndugu zetu na binadamu tuna mapungufu yenu.

masai ni vulnerable group...

wewe unae subiria story za kijiweni au vijiweni kuhusu masai endelea kusubiria... na una safari ndefu sana kuwa elewa hawa watu na namna ya kusaidia

usipo peleka mtoto shule una shitakiwa, ukibaka una shitakiwa, kuoa mtoto una shitakiwa. je kwa masai? na masai wote wana furahia? na una waingiaje kuwa ambia waache?

kaa hapo hapo piga kelele twitter na wakina sijui ole nani... endeleeni kudanganyana mkihisi mna ambiana yaliyo wazi na kweli kuhusu hii jamii...

hawa pale selela kuna kipindi wana teseka hawana mfano, tuna ingia kusaidia... una leta siasa, kuna madarasa yanayo tembea kila masai walipo, una zungumzia hii ya huduma ya afya, yapo mengi.

kuna kipindi masai ana kula mchicha na ugali njaa mbya

endelea kukesha twitter....

nina picha na video nyingi za masai kuhusu haya mambo yao, na masai wengine walio elimika wana tumia kupata pesa toka kwa wageni
Wakiachwa basi hata kule Mikumi watu waachwe waingize ngombe kwenye Hifadhi na kujenga ili watalii wakija washangae wafugaji wanavyoishi na mifugo yao na Twiga pamoja na Simba.

Hao wa Ngorongoro wakiachwa basi na wale wa Serengeti waachwe waishi kwenye Hifadhi ili TU wazungu wakija washangae kumbe inawezekana kuishi kwenye Hifadhi pamoja na wanyama.

Hao wa Ngorongoro wakiachwa basi na wale wafugaji wenye asili ya Kinyarwanda na wasukuma waliofukuzwa kule Buligi waachwe warudi mana hawakuwa wanaharibu mazingira. Tena wao walikua wanaishi Kwa kujitegemea bila kutegemea chakula Cha Serikali na Matibabu.

Basi hata Kule Liwale wafugaji waachwe waingize mifugo mana tabu sio kuishi na wanyama. Inawezekana kabisa na wazungu wakaja kushangaa.

Eti hao Wamasai walikua wanaishi na wanyama Kwa muda mrefu.
Nani alianza kati ya wananyama hao na hao wafugaji?
Wafugaji wote Tanzania walikua wanafuga Kwa kufuata maeneo yenye malisho ambayo pia wanyama kama Nyumbu,swala,Nyati n.k nao wanakula nyasi kama Ngombe za wafugaji. Kinachowafanya wafugaji kukaa kwenye Hifadhi za wanyama sio maisha yao Bali ni maisha ya mifugo jambo linalowezekana kufanyika nje ya hifadhi Kwa mifugo yao kupata malisho na watoto wakaenda shule huku wakijitegemea kama watu wengine.

Watanzania waache ujinga wa kudanganywa na watu wachache wenye kujinufaisha kupitia Watoto wa kimasaidi wanaoishi maporini kama wanyama na kukosa Elimu.
Wahamishwe na wapelekwe maeneo yenye Rutuba nzuri na familia zao. Wataona kuwa walichelewa sana. Watoto wao watabadilika sana kifikra.Tunapoteza vipaji vya watoto wa kimasaidi wenye akili na kuwaacha wakikimbizana na fisi maporini Kwa sababu ya akina Ole Sendeka anayeishi na familia yake maisha ya kisasa na mapesa Mengi huku wamasai wenzake wakiishi kama enzi za ujima katikati ya maisha ya kisasa.

Hivi kule Sasa hivi wanachajia wapi simu wale watu.?
Wanatumia tochi Gani kama sio za betri na hizo betri wanazitupa wapi kama sio kuharibu mazingira?
Kama Kuna mpaka minada ya masoko? Ni bidhaa Gani wanazouza na Kununua kama sio hizi hizi tunazotumia watu wote za kichini ambazo ni za muda mfupi zinatupwa?

Wafugaji ni matajiri sana na wanaweza kuendesha maisha yao Kwa chakula kama watu wengine bila msaada wa serikali.
Serikali itatoa huduma za kijamii na Miundo mbinu TU.

Haiwezekani serikali kuendelea kutoa Pesa Kwa matajiri wafugaji wanaoishi Ngorongoro wakati Kuna wagonjwa hospitalini wanakosa dawa.

Kuna Vijana wamenufaika sana na ule mfumo wa kuwatumia Wamasai kujineemesha na ndio wanaoleta siasa za kijinga.

Pale waondolewe hata Kwa kutumia Jeshi la kukodi Toka Kongo na Msumbiji.
Atakaye kaidi na kurusha Mshale basi iwe ni jambo lisilovumilika.

Waelimishwe ikiwezekana viongozi wao wa kimila Wapelekwe waonyeshwe sehemu nyingine zenye mazingira mazuri ,maji ,shule , umeme karibu na hospitali . Waone umuhimu wa kuishi maeneo salama yenye mahitaji muhimu. Wakishaona warudi kuwaelimisha wenzao Nia njema ya serikali.

Watu wote Duniani awali walikua wanaishi maporini na wanyama Kwa kugombania matunda na nyasi. Maendeleo yaliwatenganisha watu na wanyama. Haiwezekani mpaka Sasa tuseme tuna maendeleo huku watu wengine wakiwa wanaishi maporini bila vyoo,bila shule ,bila Barabara nzuri na usafiri wa uhakika, umeme,maji safi na salama ,shughuli za kiuchumi kama maduka na mwingiliano na jamii nyingine n.k.

Bunge liunde kamati Maalumu iende ikafanye uchunguzi ikishirikiana na Tume ya mazingira ili iishauri serikali na kutunga Sheria ya kuwahamisha watu wote kwenye Hifadhi ya Ngorongoro.Serikali nayo isimamie vizuri fungu la kuwahamisha Wamasai na mifugo yao bila watu kujitokeza na kutafuna fedha na kuwaacha Wamasai bila makazi na Eneo la kudumu lisiloingiliana na wakulima.
Waliopinga watakuja kuona manufaa Kwa Taifa.

Pia ikiwezekana serikali ichunguze ijue nani wanaojinufaisha na ule mfumo wa wale Wamasai wanaoishi kwenye mazingira yasiyofuata Sheria wakati watoto chini ya miaka kumi na mbili wanaolewa kule Ngorongoro na hawaendi shule.

Serikali isikubali Kakikundi ka watu kakatumia ujinga wa wale watu kule porini kujineemesha. Watu waache siasa kwenye mambo makubwa ya kitaifa na kimataifa.
 
Mkuu usiandike kwa kupitiliza Hadi sehemu nyingine unakosea.

Hayo mambo ya kutumia simu,sijui tochi sijui blah blah yaache hiyo unayoita globalization ina hasara pia naona unataka wamasai waanze kuvaa nguo za kimarekani na kichina waache lubega.

Usitake kuwatukana wamasai kwamba wao ni sifuri,kuwa na busara.Kila mtu ana mazuri yake na mabaya yake.
 
Back
Top Bottom