Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Anapiga perdiem zake tu taratibu maana anajua yeye ni mzanzibar matatizo yenu mtajua wenyeweHii Nchi linaibuka hili linaisha linakuja jingine Mama walaa yupo zake Ankwea Mapipa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapiga perdiem zake tu taratibu maana anajua yeye ni mzanzibar matatizo yenu mtajua wenyeweHii Nchi linaibuka hili linaisha linakuja jingine Mama walaa yupo zake Ankwea Mapipa tu
Mkuu nasema Mungu yupo twende tu,Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.
View attachment 2118961
Flyings Medical Service wanafanya shughuli za utabibu kwa njia ya anga maeneo ya mkoa wa Arusha na Manyara tangu nwaka 1983. Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Ijumaa, 11/2/2022 wamewapa FMS barua rasmi ya kusitisha huduma zao zote kwa wa-maasai ndani ya Ngorongoro. Huu ni UUAJI!
Waondoke na waishi maisha ya kawaida. Population yao imeongezeka na shughuli za kibinadamu pia zikiwemo hizo za kiafya. Wanadisturb wanyama
Watafanyiwa upasuaji kwa miti shamba?Masai wa ngorongoro hahitaji hospitali iwe ya ardhini au angani wanajitibia na dawa za kimasai
Hizo ndege zilikuwa zinaenda kubeba wanyamapori na pembe za ndovu tu
Napongeza uamuzi wa hizo ndege kutokwenda mbugani
Waondoke hifadhiniWakati huo huo, mkuu wa mkoa yupo, wa wilaya yupo, mkrugenzi yupo, RPC yupo
Enzi za hayati hawa wote hawana kazi!
Ngorongoro imekuwa wimbo mzuri saana sasa, lakini huko mbele kuna Giza iwapo diplomatisia haitatumika
Swali zuri hili! Hata Nanjilinjili kuna uhitaji!FMS wanatoa huduma hizo Ngorongoro tu? huku kwa wamakonde hawafiki?...
Tatizo la kuabudu mtu, hivi tungekuwa na mifumo mizuri ya kiutawala, ungesema Enzi ya hayatiWakati huo huo, mkuu wa mkoa yupo, wa wilaya yupo, mkrugenzi yupo, RPC yupo
Enzi za hayati hawa wote hawana kazi!
Ngorongoro imekuwa wimbo mzuri saana sasa, lakini huko mbele kuna Giza iwapo diplomatisia haitatumika
Huko hakuna wanyamapori wa kuibaFMS wanatoa huduma hizo Ngorongoro tu? huku kwa wamakonde hawafiki?...
Wenyeji wa asili walikuwa wakiishi maeneo hayo pamoja na hao wanyama kwa miaka mingi sana kabla ya fortress conservation module kuletwa na wakoloni.Hivi ngorongoro kati ya wanyama na binadamu, nani alimkuta mwenzake? ...............aliyevamia humo ndiye aondolewe.
Hawana akili hao!!Tatizo la kuabudu mtu, hivi tungekuwa na mifumo mizuri ya kiutawala, ungesema Enzi ya hayati
Ni lazima kutafuta ufumbuzi wa kudumu, kwa sababu ni suala la muda tuu hili tatizo litatapakaa kwenye maeneo mengine kama mkomazi ambapo Tembo wanaua watu kila uchwao. Idadi ya binadamu inaongezeka hivyo kuhitajimaeneo makubwa zaidi, wanyama pia wanaongezeka hivyo kuhitaji maeneo zaidi. Sasa ni nani atakaye mpisha mwenzake ndipo ugomvi ulipoAcha kuitisha serikali wewe. Wamasai na serikali nani mkubwa?
Kwa taarifa yako wamasai lazima wataondoka tu. Hatuwezi kama taifa kupoteza wanyama na watalii eti kisa kuna kakabila fulani hivi kasiko taka kuchangamana na binadamu wenzake kamegoma kuondoka Ngorongoro.
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.
View attachment 2118961
Flyings Medical Service wanafanya shughuli za utabibu kwa njia ya anga maeneo ya mkoa wa Arusha na Manyara tangu nwaka 1983. Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Ijumaa, 11/2/2022 wamewapa FMS barua rasmi ya kusitisha huduma zao zote kwa wa-maasai ndani ya Ngorongoro. Huu ni UUAJI!
😆😆😆😆😆😆😆nasikia ngorongoro wamasai hawana vyoo, na pia hawana makaburi. watu karibia 120,000 wakifa huwa wanazikwa wapi? inasemekana wanaachwa waliwe na wanyama. hawa watu wanatakiwa wapelekewe jeshi ili tuone kama mikuki na mishale yao itashindana na jeshi. hawatakiwi kufumbiwa macho. nimeshangaa Ole ngurumo anapambana kabisa na usomi wote anapigana wamasai waendelee kubaki ngorongoro. kweli masai hata ukisomesha unatupa pesa tu.
Mgogoro wa Mkomazi ni wa muda mrefu sana. Tangu eneo husika likiwa mapori ya akiba.Ni lazima kutafuta ufumbuzi wa kudumu, kwa sababu ni suala la muda tuu hili tatizo litatapakaa kwenye maeneo mengine kama mkomazi ambapo Tembo wanaua watu kila uchwao. Idadi ya binadamu inaongezeka hivyo kuhitajimaeneo makubwa zaidi, wanyama pia wanaongezeka hivyo kuhitaji maeneo zaidi. Sasa ni nani atakaye mpisha mwenzake ndipo ugomvi ulipo
Mfumo UPI usiosimamiwa?Tatizo la kuabudu mtu, hivi tungekuwa na mifumo mizuri ya kiutawala, ungesema Enzi ya hayati
Sawa lakini hatutaki kuona gang yeyote inakuja pale kwa jina la UWEKEZAJIII !!Waondoke hifadhini
Kabla ya kupost umesoma tarehe ya hiyo picha yako mkuu au umekurupuka tu?Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.