Tetesi: Unyama: Wamasai wa Ngorongoro waanza kukomeshwa, huduma muhimu zapigwa marufuku

Mkuu nasema Mungu yupo twende tu,
 
Wakati huo huo, mkuu wa mkoa yupo, wa wilaya yupo, mkrugenzi yupo, RPC yupo

Enzi za hayati hawa wote hawana kazi!

Ngorongoro imekuwa wimbo mzuri saana sasa, lakini huko mbele kuna Giza iwapo diplomatisia haitatumika
Waondoke hifadhini
 
Wakati huo huo, mkuu wa mkoa yupo, wa wilaya yupo, mkrugenzi yupo, RPC yupo

Enzi za hayati hawa wote hawana kazi!

Ngorongoro imekuwa wimbo mzuri saana sasa, lakini huko mbele kuna Giza iwapo diplomatisia haitatumika
Tatizo la kuabudu mtu, hivi tungekuwa na mifumo mizuri ya kiutawala, ungesema Enzi ya hayati
 
Hivi ngorongoro kati ya wanyama na binadamu, nani alimkuta mwenzake? ...............aliyevamia humo ndiye aondolewe.
Wenyeji wa asili walikuwa wakiishi maeneo hayo pamoja na hao wanyama kwa miaka mingi sana kabla ya fortress conservation module kuletwa na wakoloni.
Sasa sijuhi unataka waondoke akina nani!
 
Ni lazima kutafuta ufumbuzi wa kudumu, kwa sababu ni suala la muda tuu hili tatizo litatapakaa kwenye maeneo mengine kama mkomazi ambapo Tembo wanaua watu kila uchwao. Idadi ya binadamu inaongezeka hivyo kuhitajimaeneo makubwa zaidi, wanyama pia wanaongezeka hivyo kuhitaji maeneo zaidi. Sasa ni nani atakaye mpisha mwenzake ndipo ugomvi ulipo
 

Wapelekwe Arusha mjini wakaishi huko,,,,Eneo la wanyama pori c salama kwao, na piaa watasababisha wanyama wote watokomeeeee.


Acheni mackitiko
 
Agenda ya kuwondoa Maasai iende sambamba na kusitisha ujenzi holela hoteli za kitalii ndani ya NCA.
Karatu mjini, Wasso, Ololsokwan, au Piyaya ni karibu sana. Kama lengo ni uhifadhi hizo hoteli mpya zikajengwe nje ya hifadhi.

NB: Wananchi pazeni na elekezeni sauti zenu panapostahili.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mgogoro wa Mkomazi ni wa muda mrefu sana. Tangu eneo husika likiwa mapori ya akiba.
Huu mgogoro wa Ngorongoro nao si mpya ulikiwepo kwa muda mrefu sana.
Hofu ni kuwa lengo wala si uhifadhi. Kuna matajiri wanataka kujenga mahoteli ya kitalii mle ndani.
Tayari ndani ya NCA kuna ujenzi holela wa mahoteli unaendelea kwa kasi kubwa sana.
Tukomae ili shughuli za binadamu inluding ujenzi wa mahoteli zifanyike nje ya hifadhi.
 
Tatizo la kuabudu mtu, hivi tungekuwa na mifumo mizuri ya kiutawala, ungesema Enzi ya hayati
Mfumo UPI usiosimamiwa?

Na mfumo uutakao unsweza kuuelezea muundo wake kama sio kukaririshwa tuu mfumo mfumo, ukoje sasa
 
Kabla ya kupost umesoma tarehe ya hiyo picha yako mkuu au umekurupuka tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…