Unyanyasaji wa kihindi

Unyanyasaji wa kihindi

dagaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
290
Reaction score
379
jamani wana jamvini naombeni kuuliza, mi nafanya kiwanda cha rangi Coral, HR-Manager wetu ambaye ni mwindi katutumia msg inasema ivi Dear All, Tomorrow, 08 August 2012, will be a working day for all departments. Please be guided accordingly. HODs, please inform all your staff members.


jamani kweli huu si unyasaji je kisheria inakubalika kwa wanasheria?
 
duh yupo wrong hiyo kisheria hairuhusiwi wasilianeni na CMA wapo wizara ya kazi kinachotakiwa ni mfanyakazi kuingia kwa mapenzi bnafs na alipwe extra duty allowance.....shame wahndiiiiiiiiiiiiiiiii ndio maana hizi kaz za wahndi tunazkimbia
 
Mpuuzi kama huyo naye utaambiwa ni expert wakati ni kihiyo na mkimbizi wa kiuchumi. Ila hapa tusilaumu wahindi bali watawala wetu waliotuuza kwao. Pia tujilaumu kwa kutowashupalia wakashika adabu. Mbona mtu mmoja Mtikila alipowatolea uvivu angalau walibadilika?
 
s.25 ELRA, 2004, states that "If an employee works on a public holiday specified in the Public Holidays Ordinance, the employer shall pay the employee double the employee's wage for each hour worked on that day".

Sometimes the operational requirements might force the employer to require the employees to work during public holidays (tender, special order, utilising perishable raw materials, etc) and allow them to compensate the same in future.

Sometimes we need to know some ABC of labour laws before blaming the Wahindi.
 
mimi nasema mkuu siendi kazini
 
Hey msimpotoshe mwenzenu,Tanzania tumezidi kwa sikukuu,china ina holiday moja ambayo hawafanyi kazi may day.i see we nenda kapige kazi,wakati unaomba si ulisema utakuwa mtiifu?tufanye kazi kwa moyo,wewe ni mwana JF haimaanishi kila lalamiko utakalolileta tukusupport hapana,tunakupenda na tunakupa uhalisia kafanye kazi,nina experience na kazi za private,sababu nimeshazoea kufanya kazi hadi christmas even new year tunapiga kazi kwa furaha tu.sasa ukiwa kama head of department wape moyo watendaji kazi wako,daima usipende kulalamika.
 
mimi nasema mkuu siendi kazini

Mkuu kuwa mwangalifu, watakufukuza kazi siku inayofuata na hakuna wa kuwafanya kitu kwa maana watawala wetu walishawekwa mfukoni na hao wahindi. Kwahiyo angalia usije ukaitesa familia yako kwa kukosa mkate.
 
mimi nasema mkuu siendi kazini

Mkuu upo sawa kwa mujibu wa sheria. Tatizo ni kwamba nchi hii wenye pesa wanaoamua hukumu iweje. nakushauri uende tu kazini, maana watakupiga chini kazi na hutapata wa kutetea. ni hivi majuzi tu wahindi wamemnyang'anya binti mmoja aliyezaa na kijana wao kitoto cha miezi mi4. yule binti kaenda mahamakani, ********* ikaweka pesa, ile binti imenyimwa toto yake dogo kabisa bele ya mahakama. hakimu iko kula pesa halafu pindisha sheria, ile binti iko lia tu hakuna toto. waulize ITV hili sakata cjui limeishia wapi. hii nchi hakuna sheria, ila kuna nguvu ya pesa. habari mpaka inatangazwa kwenye TV hata waziri wa ustawi wa jamii hana habari. anakula bata tu mjengoni. HII NCHI INA DHULUMA UNAWEZA KULIA, UKACHANYIKIWA MPAKA AKILIA IKAKURUDIA HALAFU UKAKUTA HAKUNA KILICHOBADLIKA. SERIKALI YA MAGAMBA WAPO BIZE KUCHAKACHUA RASILIMALI ZA TAIFA TU, SHERIA ZITAJIJUA ZENYEWE.
 
Back
Top Bottom