dagaa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 290
- 379
jamani wana jamvini naombeni kuuliza, mi nafanya kiwanda cha rangi Coral, HR-Manager wetu ambaye ni mwindi katutumia msg inasema ivi Dear All, Tomorrow, 08 August 2012, will be a working day for all departments. Please be guided accordingly. HODs, please inform all your staff members.
jamani kweli huu si unyasaji je kisheria inakubalika kwa wanasheria?
jamani kweli huu si unyasaji je kisheria inakubalika kwa wanasheria?