Hey msimpotoshe mwenzenu,Tanzania tumezidi kwa sikukuu,china ina holiday moja ambayo hawafanyi kazi may day.i see we nenda kapige kazi,wakati unaomba si ulisema utakuwa mtiifu?tufanye kazi kwa moyo,wewe ni mwana JF haimaanishi kila lalamiko utakalolileta tukusupport hapana,tunakupenda na tunakupa uhalisia kafanye kazi,nina experience na kazi za private,sababu nimeshazoea kufanya kazi hadi christmas even new year tunapiga kazi kwa furaha tu.sasa ukiwa kama head of department wape moyo watendaji kazi wako,daima usipende kulalamika.