Unyanyasaji wa wanawake wanaohudumu katika kumbi za starehe (Baa)

Tunapowapa ofa za bia pia mbona hawalalamiki? Kutokua na elimu ya kutosha sio kigezo cha kuwa barmaid, kuna wanawake wamesoma vizuri tu ila wanauza mihogo ya kukaanga, ubuyu, mitumba, mashuka etc. Barmaid pia ni kazi na kushikwa shikwa ni vionjo tu vya kazi na wenyewe wanapenda asiyependa huwezi kumshika, Wengine tunaondoka nao kwenda kujipumzisha nao pamoja na kuwapatia ujira wao. naongea kutokana na uzoefu.
 
Vijana muoe na akina mkubali kuolewa.

Matatizo haya yote yameanzia Mwanamke anapotaka kutunisha misuli na kuanza kutangatanga eti kutafuta maisha, hapo ndio shida inapoanzia.

Hawa viumbe wanapaswa kukaa ndani na kuoelwa wengi wengi, tofauti na hapo ni matatizo makubwa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…