Unynyasasi wa jinsia na kidini na ngono emau

Unynyasasi wa jinsia na kidini na ngono emau

Unajua kila mtu ni mwalimu lakini ikumbukwe kuwa ni taaluma kama taaluma zingine.muhasibu wa shule anapojivika ualimu na ukuu wa shule wakati fulani ndo huwa anatumia kama chambo cha kuweza kuwa na wale watoto wakubwa kiumbo ambao anaona kuwa wanaweza kulika. na huyuhuyu ndiyo yuko mstari wa mbele kuendeleza kuponda rc kwa kumsema vibaya bikira mariam kuwa eti ni ka mdada,kunwa wakati anaanzisha topic za kusema sabato ni bora kuliko madhehebu mengine,lakini ukimzidi point jua kuwa asubuhi kwenye ibada ndo anakuja kuponda zaidi kama kukomoa.tabia hii ya kutumia '(chapo) kama sehemu ya kuwasema vibaya watumishi ambao si wasabato pia anayo mwalimu sahani ila haji moja kwa moja ila wenye akili wanajua kuwa leo tumepigwa kitu.
 
Jerrymsigwa laiti kama ingekuwa ni mkeo au mwanao ndo analiwa na muhasibu au makamu mkuu wa shule na ukajua kuwa kuwa ndivyo hivyo labda ingekuingia akilini kidogo,lakini sikulaumu kwani si lazima kukubali waweza pita tu au kama una shirika na watu hawa pole yako.
 
Last edited by a moderator:
Maadam hauko katika eneo husika na iwe hivyo ila wale ambao wambao tupo hapa shuleni tunajionea wenyewe nayo ni hatua katika maisha
 
Wasabato ni kawaida yao kuwachukia RC.

kuna mtu mmoja ni RC aliwahi sema kuwa yeye yuko tayari mwanae aolewe na mwislam atamruhusu abadili dini lakini sio kwa wasabato yaani nikajua kumbe kwa RC ni bora mwislam kuliko sabato sijui kwa nini wana uhasama.
 
Yaani mtoa mada mpaka umetengeneza jf account kwa ajil ya hyo shule eti mpya emau.
 
Ni hatari sana wakati huo wabunge na madiwani wako likizo ya miaka mi5 hadi msimu wa uchaguzi.
 
Salam wana bodi
Kama wewe si msabato katika sule ya emau jua jua siku zote umekaliakuti kavu.
Wanaoongoza kuvunja maadili ni mwasibu 0768078206 anafanyia ofisini mwake
Jujulu patroni 0759820605
binamungu makam mkuu wa shule ambaye alifnkuzwa g ment kwa kumpa mimba mwanafunzi
mkurugenzi ana alinda watu wake kwakuwa ni wasabato kama muyunga huyu ni mganda 0755508436
Director onesmo nyaruba 0758009300 anasema hata kama mtu ataende kushtaki ana ela za kutosha hatishki.
Kwa mtu anayetaka uhakika aulize wanafunzi au waalimu nje ya mazingira a shule kwani siio siri.taarifa kamili inakuja.
Wanafunzi waathirika ni kuanzia la tano mpaka la saba majina nitaleta.pamoja na walimu wa kike ambao wamekataa kutoa rushwa ya ngono kwa wasabato hao.
kUDHALILISHA DINI ZA WATUMISHI WASIO WASABATO NI KUKUBWA HASA KIPINDI CHA HASUBUHI
Nawasilisha.

Ntuzu tafadhali njoo huku pia.....Ila kabla ujaja nenda kwanza kule kwa Mkuu wa Chuo...
 
Last edited by a moderator:
Nadhan mjumbe ameandika kwa kuikomoa shule hawawezi waalim au system nzima iwe na tabia hiyo.
Tuwe wakweli wasabato hawawachukii RC Hata kidogo nimewafuatilia sana ila navyojua watu hawapendi ukweli na ukiambiwa ukweli unasema aliyekuambia anakuchukia.

Una uhakika kuwa SDA hawawachukii RC....Hiyo ipo wazi kabisa wala huitaji kuelezewa...

Labda na wewe ni Msabato ndio maana unatetea..
 
Ninarudia, ikiwa mleta mada ana nia nzuri kabisa ya dhati kusaidia hii nchi yetu, kusanya huu ushahidi peleka polisi wafunguliwe charge. Ila kama huna ushahidi hii tunaita porojo ama umbea ambao hata usemeje utaonekana zuzu tu

Hata kuileta hapa ni vizuri sana maana watu wataamua kuchambua mpunga na mchele...
 
Una uhakika kuwa SDA hawawachukii RC....Hiyo ipo wazi kabisa wala huitaji kuelezewa...

Labda na wewe ni Msabato ndio maana unatetea..

Nashangaa waumini wa makanisa ya kiroho hata wachungaji wakiwasema RC ni nani aliyewapa mamlaka hayo.Niliwahi shiriki misa kanisa moja la kiroho lipo banana. Baadae mchungaji akawasema RC .Waliposema wageni wajitambulishe nikasema ni muumini wa RC cjui alijisikiaje.
 
Back
Top Bottom