- Thread starter
-
- #21
Unajua kila mtu ni mwalimu lakini ikumbukwe kuwa ni taaluma kama taaluma zingine.muhasibu wa shule anapojivika ualimu na ukuu wa shule wakati fulani ndo huwa anatumia kama chambo cha kuweza kuwa na wale watoto wakubwa kiumbo ambao anaona kuwa wanaweza kulika. na huyuhuyu ndiyo yuko mstari wa mbele kuendeleza kuponda rc kwa kumsema vibaya bikira mariam kuwa eti ni ka mdada,kunwa wakati anaanzisha topic za kusema sabato ni bora kuliko madhehebu mengine,lakini ukimzidi point jua kuwa asubuhi kwenye ibada ndo anakuja kuponda zaidi kama kukomoa.tabia hii ya kutumia '(chapo) kama sehemu ya kuwasema vibaya watumishi ambao si wasabato pia anayo mwalimu sahani ila haji moja kwa moja ila wenye akili wanajua kuwa leo tumepigwa kitu.