bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Creed Aventure Matata saaanaMwaka huu 2022 una malengo/ndoto ya kutamba na Perfume gani ?
Mimi; Tomford black Orchid View attachment 2068220
Kila la kheri kamanda ukanukieCreed Aventure Matata saaana
Laki 8 na 80Sh ngap hii
Cjawah inusa bado, ntatest nkipata nauliCHANEL BLEU kiboko!
Hahaha laki 8 kwa maisha haya ya kibongo broLaki 8 na 80
Pazito sana hapo [emoji3]Hahaha laki 8 kwa maisha haya ya kibongo bro
Kuna ya elfu 40 ya kupima kwa ujazo huo huo wa laki 8! Nicheki tufanye biashara..Pazito sana hapo [emoji3]
Ni ntaka ya kupima nina elfu 6Kuna ya elfu 40 ya kupima kwa ujazo huo huo wa laki 8! Nicheki tufanye biashara..
Elfu 6 utapata ya 5mls! Size ya betri ya rimoti๐Ni ntaka ya kupima nina elfu 6
Safi sanaMonsour ndio habari ya mjini