Unyunyu wa 2022 "psiii psiii"

Unyunyu wa 2022 "psiii psiii"

bway hermit

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
1,337
Reaction score
2,339
Mwaka huu 2022 una malengo/ndoto ya kutamba na Perfume gani ?
Mimi; Tomford black Orchid
_20220104_134736.JPG
 
Hivi hakuna mafuta ya mgando toleo jipya wanaume wa ukweli tujipake, maana mabo ya unyunyu tuwaachie wanawake, kwani naingia period mpaka nijipulizie pafyumu, hahahahahahahahah😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

𝐍𝐢 𝐮𝐭𝐚𝐧𝐢 𝐭𝐮 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐬𝐢𝐩𝐨 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐳𝐢𝐧𝐠𝐮𝐚 𝐬𝐚𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚
 
Nia cheni na rungu yangu hata mbu na nzi hawanifuati
 
Back
Top Bottom