Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
MziziMkavu sikiliza,
nina shida naomba pm.
nina shida naomba pm.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie teja mkubwa wa chai hapa nishagonga kikombe kimoja! ila huwa sinywi zaid ya viwili kwa siku!
Bibie Mamndenyi Mbona huja ni Pm nimekungojea labda utanitumia Pm lakini ninaona kimya kulikoni bibie?MziziMkavu sikiliza,
nina shida naomba pm.
Mkuu Chimunguru mimi leo ninakupa faida ya chai nunuwa chai boksi moja kisha nunuwa tangawizi kavu ya unga gramu 25 nunuwa Mbadalasini ya unga gramu 25 changanya kwenye hayo majani yako ya chai pika uwe unakunywa kila siku itakuwa inakusaidia sana matatizo ya nguvu za kiume haya tena usimwambie mtu fanya hivyo kisha utakuja kunipa feedback kama shemeji hakutoka mbio kitandani kwa nguvu za kiume zinavyozidi kwako kazi kwako mkuu.
Bibie Mamndenyi Mbona huja ni Pm nimekungojea labda utanitumia Pm lakini ninaona kimya kulikoni bibie?
hahah sjambo tu Mamndenyi nimelala lakini macho yapo waziumeamkaje leo,
nita pm tu MziziMkavu
mkuu chimunguru ikiwa hujamuowa usije ukamtia tu mimba mtoto wa kichaga shauri yako dawa kiboko hiyo mmi huku shemeji yako ninamuendesha mchakamchaka ananiuliza kulikoni mume wangu unatumia viagra ninacheka tu nina ongeza na asali kijiko kimoja kabla ya mechi kuanza wee kasheshe kweli shemeji yako anaomba half time uwanjani.