gloriamagret2014
Member
- Apr 9, 2024
- 9
- 6
Hutegemea umri wa mtu, jinsia, historia ya magonjwa, uzito wa mwili na ulaji wa mtu. Kwa ujumla kama wewe ni mtu mzima wa umri (25-80) ukiywa bia 4 kwa wiki (500mls each) utakuwa vyema. Robo glasi ya wine ni nzuri kwa afya yako. Kama ni spirits kama Konyagi, Valeur n.k. nusu glasi kila baada ya siku 2 sio mbaya.Naomba kujua unywaji pombe salama na bora kiafya ni kiwango gani kwa siku?
Bia ni kiasi gani na pombe kali konyagi au K.VANY ni kiasi gani? Wadau naomba kujuzwa kiwango sahihi kwa siku.
Angalau bia moja kwa siku kwa mwanamke , na bia mbili kwa mwanaume.Naomba kujua unywaji pombe salama na bora kiafya ni kiwango gani kwa siku?
Bia ni kiasi gani na pombe kali konyagi au K.VANY ni kiasi gani? Wadau naomba kujuzwa kiwango sahihi kwa siku.