Wataalam naomba mnipe ujuz! Kulingana na hali ya hewa nliamua kununua Africafee sasa leo asubuh baada ya kunywa kama ilivyo kwaida mama hakuwa ametoka. Hivyo mida ya kama sa nne nikaamua kula chakula cha usiku yan nimefunga goli moja moyo ukawa unaenda mbio sanaaaa na nlivyorudia nikakosa nguvu kabisaaaaa. Vip hii Africafee ina madhara gani?