Unywaji wa Africafee una madhara kiafya?

J33

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
1,552
Reaction score
1,513
Wataalam naomba mnipe ujuz! Kulingana na hali ya hewa nliamua kununua Africafee sasa leo asubuh baada ya kunywa kama ilivyo kwaida mama hakuwa ametoka. Hivyo mida ya kama sa nne nikaamua kula chakula cha usiku yan nimefunga goli moja moyo ukawa unaenda mbio sanaaaa na nlivyorudia nikakosa nguvu kabisaaaaa. Vip hii Africafee ina madhara gani?
 
Kahawa in kafeini (caffeine), na hii kitu ina uzuri na ubaya wake pia. Inaongeza msukumo wa damu (blood pressure) na hapa ndipo nafikiri wewe una tatizo (either unaijua au hulijui). Bottom-line ni kuwa kwa watu wenye high blood pressure (esp uncontrolled hypertension) hawashauriwi kutumia bidhaa zenye kafeini.
 
Gonga tuuu ahina madhara

Back
Top Bottom