Kuna baadhi ya watu hupendelea kunywa kahawa chungu saa za jioni.Mimi nimejaribu kunywa,lakini nikinywa vikombe vinne vidogo inanisababisha nakosa Usingizi kabisaa.Je,haina madhara na ina kitu gani kinachosababisha watu wakinywa wakose usingizi.Amani kwenu..