Unywaji wa kahawa chungu je,una madhara?

Unywaji wa kahawa chungu je,una madhara?

mgange hussein

Senior Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
159
Reaction score
43
Kuna baadhi ya watu hupendelea kunywa kahawa chungu saa za jioni.Mimi nimejaribu kunywa,lakini nikinywa vikombe vinne vidogo inanisababisha nakosa Usingizi kabisaa.Je,haina madhara na ina kitu gani kinachosababisha watu wakinywa wakose usingizi.Amani kwenu..
 
Ina cocaine sasa google madhara na faida za cocaine
 
Back
Top Bottom