Naomba kuuliza wataalamu wa afya kuhusu unywaji wa kahawa chungu ambazo watu hunywa na kashata. Je haina madhara kiafya? Nilijaribu kuonja siku moja nikaona ni chungu mno lakini watumiaji wanakunywa kila siku. Je haina madhara?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.