Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Right now nakunywa pombe yangu mdogo mdogo ...Tanzania kukunyw maziwa nikama kukunywa hiki ki mzinga.View attachment 791942
😀😀😀 yani kuyanyua maziwa kwa magufuli lazima kwanza uhakikishe mfuko iko safi kama kuandaa karamu.Right now nakunywa pombe yangu mdogo mdogo ...Tanzania kukunyw maziwa nikama kukunywa hiki ki mzinga.View attachment 791942
Iweke hapa hapa...Mimi hukunywa scotch whisky pekeeHi picha niliona sijui miezi mingapi nyuma huko. [emoji23]
Alafu kuna jamaa nliona anabrag na gari ya 1998 ...hajui iyo ni ngombe moja hapa Kenya....wabongo kweli maskini😀😀😀 yani kuyanyua maziwa kwa magufuli lazima kwanza uhakikishe mfuko iko safi kama kuandaa karamu.
Bring evidence here sio facts kutoka kwa matakoMalawi landlock country, consume more fish than Kenya. In fact they used to eat 14kg, 3x more than Kenya before it drop 5.4kg.
At any internet browser of your choice, type... www.google.com soon after the page pops up, search [insert name of any country] followed by fish consumption 2017.Bring evidence here sio facts kutoka kwa matako
Give us the link right away...u drink non-milk tea daily and you're here to argue nonsenseAt any internet browser of your choice, type... www.google.com soon after the page pops up, search [insert name of any country] followed by fish consumption 2017.
Wakenya wote wamefanya hivi, how come you can't do this. Are you really Kenyan South Sudanese?
Huyu msudan mbona shida, si ukatafute mwenyewe link, unaniuliza mimi nikusaidie nini.Give us the link right away...u drink non-milk tea daily and you're here to argue nonsense
Buda kwani ulitombwa haga na kadoda ...saizi matakoni hii ndio inaendelea.....leta link hapaHuyu msudan mbona shida, si ukatafute mwenyewe link, unaniuliza mimi nikusaidie nini.
Matusi ya 1978, tulisha pita huko hutukani hivyo tena. So backwardBuda kwani ulitombwa haga na kadoda ...saizi matakoni hii ndio inaendelea.....leta link hapaView attachment 792034View attachment 792035
Sio kama watanzania hawana pesa ya kununua maziwa bali inategemea na utamaduni wa jamii husika, mfano ukanda wa pwani Dar ikiwemo huko hata wafugaji hakuna sababu ni jamii ya wavuvi na wengi wa wafugaji maeneo hayo ni wamasai na wasukumaAlafu kuna jamaa nliona anabrag na gari ya 1998 ...hajui iyo ni ngombe moja hapa Kenya....wabongo kweli maskini
Is this a pathophysiology of milk or what[emoji23][emoji23] i can't read all of this spare my me plztmsowoya@mwananchi.co.tz
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
“Sikumbuki lini ilikuwa mara ya mwisho familia yangu kunywa maziwa kwa sababu ni gharama na siwezi kumudu bei yake, kuliko kununua maziwa, ni bora ninunue mboga za majani watoto wale.”
Hivi ndivyo mkazi wa Tabata Kisiwani, jijini Dar es Salaam Benitho John alivyozungumzia unywaji wa maziwa.
Kwake jambo hilo ni kama anasa na haoni umuhimu wake mwilini. Sio Benitho peke yake anyedhania hivyo, ukweli ni kwamba baadhi ya watu wanapuuzia na hawaoni umuhimu wa kunywa maziwa hata kama yapo karibu nao.
Wakati leo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya unywaji wa maziwa, wataalamu wa afya wanasisitiza kuwa maziwa yanakazi nyingi mwilini ikiwano ya kuifanya ngozi kuwa nyororo, kuimarisha meno na mifupa kutokana na vitamin zilizopo.
Takwimu za Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (Fao) za mwaka 2014, Kenya inaongoza Afrika kwa uzalishaji wa maziwa ya ng’ombe wakati Tanzania ikishika nafasi ya tisa.
Shirika la Afya Duaniani (WHO), linapendekeza kila mtu anywe angalau lita 200 za maziwa kwa mwaka ingawa wastani kwa dunia ni lita 108.
Kiwango cha unywaji wa maziwa kwa Tanzania kwa kila mtu ni chini ya lita 50 kwa mwaka wakati Kenya ikifikia lita 130.
Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zinazokabiliwa na changamoto ya kuwa na watoto wenye udumavu, ugojwa ambao unachangiwa kwa kiwango kikubwa na lishe duni wanazozipata watoto walio chini ya miaka mitano.
Sababu kubwa inayofanya watoto hao kudumaa ni ukosefu wa vyakula vyenye virutubisho mwilini. Maziwa yana virutubisho vyote muhimu kwa ujenzi wa afya ya binadamu kwani yana protini ya daraja la kwanza, mafuta, madini, vitamin na sukari ya asili ya lactose na maji.
Jambo hilo linailazimisha Kampuni ya Asas Dairies Ltd kuingia kwenye kampeni ya kuhamasisha unywaji wa maziwa kwa shule za msingi za Manispaa ya Iringa.
“Tunataka walau unywaji wa maziwa ufikie asilimia 60, watu waone umuhimu wa kunywa maziwa kwa sababu ni muhimu kwa afya zao,” anasema mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni hiyo, Ahmed Salim Abri.
Salim Abri anasema lengo ni kupanda mbegu ya unywaji wa maziwa kwa wanafunzi ili hata wanapokuwa nyumbani wawahamasishe wazazi kununua maziwa.
“Katika kampeni hii tumetenga lita 120,000 za maziwa zikiwa na thamani ya Sh60 milioni ili katika wiki hii ya unywaji wa maziwa kila mtoto apate,” anasema.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mshikamano, Haiba Roy anasema kuna haja ya kuanzisha kampeni ya unywaji maziwa shuleni kila siku, ili kuwasaidia kiafya wanafunzi wengi wakiwamo wanaokwenda shule wakiwa hawajapata mlo wowote toka nyumbani kwao.
Naye Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mtwivilla, Florian Kilumile anasema uamuzi wa kampuni hiyo kufanya kampeni ya unywaji maziwa unapaswa kuungwa mkono na wadau wengine ikiwamo Serikali, ili kuwakumbusha wazazi kujenga utamaduni wa kununua maziwa kwa kuzingatia mahitaji ya watoto.
Baadhi ya wanafunzi wanakiri kuwa wengi wao hawajawahi kunywa maziwa wakiwa nyumbani.
“Nyumbani huwa sinywi maziwa kabisa kwa sababu wazazi hawaoni umuhimu huo ila wakielimishwa wanaweza kuanza kununua hata mara mbili kwa wiki,” anasema mwanafunzi Juma Salehe.
Salim Abri anasema inawezekana kila familia kutenga bajeti kidogo ili kuhakikisha inapata maziwa kutokana na umuhimu wake.
Sio tu kwa Iringa, zaidi ya watoto 2,000 wa shule za awali na msingi wenye umri wa hadi kufikia miaka tisa mkoani Njombe, wamenza kunufaika na mpango wa unywaji wa maziwa bure katika siku zote za shule kama mbinu ya kuimarisha afya na kupunguza kiwango cha udumavu kwa watoto.
Idadi hiyo ni miongoni mwa watoto 10,000 watakaofikiwa na programu hiyo katika mikoa ya Njombe, Iringa, Songwe na Mbeya wakati mradi huo unatekelezwa na shirika la kimataifa la Heifer kupitia moja ya miradi yake.
Meneja wa mradi wa uendelezaji wa sekta ya Maziwa Afrika Mashariki (EADD II) Tanzania, Mark Tsoxo anasema mpango wa unywaji maziwa shuleni unalenga kukuza utamaduni wa kunywa maziwa miongoni mwa watoto na kutengeneza mahitaji imara kwa ajili ya maziwa.
Katibu wa Tanzania Women Power (TPW), jijini Dar es Salaam Joyce Madenge ambaye pia ni mwalimu, anasema mpango wa maziwa shuleni unaweza kusaidia kujenga afya hasa za watoto wanaokosa fursa ya kuyapata.
Umuhimu wa maziwa mwilini
Mtaalamu wa Lishe kutoka Jukwaa la Lishe nchini (Panita), Debora Essau anasema umuhimu wa maziwa mwilini ni mkubwa hasa kutokana na virutubisho vilivyopo.
Anasema maziwa yanaweza kumfanya mtu kuwa na meno imara yanayong’aa, ngozi nyororo na ng’avu pia na uwezo wa kuzuia wadudu wasiingie mwilini.
Deborah anasema maziwa yana madini ya Calcium yenye kazi kubwa ya kujenga mifupa na meno.
“Kwa hiyo uimara wa meno na mifupa hutegemea pia unywaji wa maziwa, ni vizuri familia kujiwekea mkakati wa kila mtu kupata maziwa,” anasema.
Anasema maziwa pia yana vitamini ‘D’ kwa wingi ambayo inaweza kupatikana kwa kuota jua hasa wakati wa asubuhi.
Wataalamu wa afya wanasema upungufu wa vitamini hii unaweza kusababisha matatizo mbalimbali ya kiafya kuanzia udhaifu wa mifupa, matatizo ya nywele na hata udhaifu wa misuli.
Debora anasema mbali na vitamin hiyo, unywaji wa maziwa yana protini ambayo pia husaidia kujenga mwili.
“Kumbuka hiki ni kimiminika na kama unvyojua, unapokunywa kimiminika unalainisha choo hivyo unywaji wa maziwa unaweza kuufanya mwili kuwa na nguvu kwa kupata uhakika wa choo,” anasema.
Utafiti mmoja uliowahi kufanywa nchini Marekan ulieleza kuwa unywaji wa maziwa hasa yanayotokana na wanyama unaweza kusaidia kupunguza msongo wa mawazo.
Kwa mujibu wa utafiti huo vitamin D inayopatikana kwenye maziwa husaidia utengenezwaji wa kichocheo cha Serotonin kinachohusisha masuala ya ‘mood’.
Unaweza kupata hamu ya kula, kulala na wakati mwingine unywaji wa maziwa unaweza kupunguza uchovu na kumpa mtu raha.
Deborah anasema maziwa mazuri zaidi ni yale yatokanayo na wanyama kwani yana protini inayopatikana kwa kiwango cha hali ya juu.
“Maziwa pia hutupatia sukari japo kwa kiasi kidogo hivyo nisisitize tu kwamba ni muhimu kila mmoja kuzingatia unywaji wa maziwa katika milo ya kila siku,” anasema.
Mtaalamu mwingine wa lishe Matrida Kassanga anasema unywaji huo wa maziwa haupaswi kupita kiasi.
“Kunywa maziwa kiwango kile kinachotakiwa mwilini, usinywe maziwa mengi hasa krimu kwa sababu unywaji huo unaweza kukusababisha uzito kupita kiasi,” anasema.
Salim Abri anasema kwa sababu maziwa hayawezi kudumu muda mrefu yasiposindikwa ipasavyo, kampuni hiyo itaanza matumizi ya teknolojia ya UHT kutengeneza aina mbalimbali za maziwa.
“Teknolojia hii ya Ultra High Temperature inawezesha maziwa yanayosindikwa kukaa kwa muda mrefu, hadi miezi sita bila kuharibika hata yakiwekwa katika maeneo yasio na mashine za kuyapooza,” alisema.
Anasema sio tu maziwa fresh hata yale ya mtindi yanazo faida nyingi kutokana na kuwa na virutubisho vingi vya aina mbalimbali ambavyo vina faida nyingi katika mwili wa binadamu
Unywaji wa maziwa Tanzania ni anasa au ni kwa afya bora
Dah....nimecheka sana...tunafanya maziwa kama dawa....na siyo chakula...Asilimia kubwa huku kunywa maziwa mpaka mtu ale sumu
Hahah! Ndio hivyo mkuu yani ukiona home kuna maziwa kwenye jokofu unauliza nani kanywa sumu humu leo? [emoji23][emoji23]Dah....nimecheka sana...tunafanya maziwa kama dawa....na siyo chakula...
hahaHahah! Ndio hivyo mkuu yani ukiona home kuna maziwa kwenye jokofu unauliza nani kanywa sumu humu leo? [emoji23][emoji23]