Unywaji wa maziwa Tanzania ni anasa au ni kwa afya bora

Ishu sio pesa maana siwezi sahau ni lini nimekunywa bia ila sikumbuki ni lini nimekunywa maziwa
 
😀😀😀 yani kuyanyua maziwa kwa magufuli lazima kwanza uhakikishe mfuko iko safi kama kuandaa karamu.
Alafu kuna jamaa nliona anabrag na gari ya 1998 ...hajui iyo ni ngombe moja hapa Kenya....wabongo kweli maskini
 
Bring evidence here sio facts kutoka kwa matako
At any internet browser of your choice, type... www.google.com soon after the page pops up, search [insert name of any country] followed by fish consumption 2017.

Wakenya wote wamefanya hivi, how come you can't do this. Are you really Kenyan South Sudanese?
 
Give us the link right away...u drink non-milk tea daily and you're here to argue nonsense
 
Kama maziwa ni yanalainisha ngozi, najiuliza wakenya wangekuwaje bila kunywa maziwa kwa wingi!
 
Alafu kuna jamaa nliona anabrag na gari ya 1998 ...hajui iyo ni ngombe moja hapa Kenya....wabongo kweli maskini
Sio kama watanzania hawana pesa ya kununua maziwa bali inategemea na utamaduni wa jamii husika, mfano ukanda wa pwani Dar ikiwemo huko hata wafugaji hakuna sababu ni jamii ya wavuvi na wengi wa wafugaji maeneo hayo ni wamasai na wasukuma

Lakini ukienda mikoa ya Kaskazini na kanda ya ziwa maziwa yapo mengi sana huko maziwa yanauzwa kama unga dukani sababu jamii nyingi huko ni wafugaji hodari na nikiwa huko maziwa nanunua kwa 50 KES kwa Lita moja ya maziwa organic sio hayo matakataka ya brookside
 
Is this a pathophysiology of milk or what[emoji23][emoji23] i can't read all of this spare my me plz
 
Dah....nimecheka sana...tunafanya maziwa kama dawa....na siyo chakula...
Hahah! Ndio hivyo mkuu yani ukiona home kuna maziwa kwenye jokofu unauliza nani kanywa sumu humu leo? [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…