Unywaji wa pombe kali

Gloriamagret

Member
Joined
Jun 12, 2023
Posts
47
Reaction score
155
Naomba kujua faida na hasara, kiwango sahihi kiafya kwa siku, unywaji salama na kiwango hatarishi kwa siku nk
 
Serikali imeacha uhuru mno pombe inauzwa tu ovyo2 kila mahali TUJIFUNZE India kunywa ni sehemu maalumu tu na kiingilio ni buku 4 yaani unatoa kiingilio kwanza ndo anaruhusiwa kupata bia
 
Piga chombo mzee usiogope, usisahau kupiga maji na chakula.
Hzi story za pombe inaua Figo na ini Achana nazo ...mind you usichanganye pombe kali na Energy drink. Na pombe za bei rahisi usitumie

ARV na utumiaji wa dawa za hospital kiholela ndo vitu vinaua Figo na magonjwa mengine
 
Kuna bro mmoja kigoma yeye ni mzee wa kvant ,fegi na pool table anakunywa zile kvant ndogo mpaka 6 ila jamaa anakula vizuri kabla hajanywa na hua hayumbi
 
Kuna bro mmoja kigoma yeye ni mzee wa kvant ,fegi na pool table anakunywa zile kvant ndogo mpaka 6 ila jamaa anakula vizuri kabla hajanywa na hua hayumbi
Kuna mwenzie alikuwa anakunywa double kick 7 mpaka 10 kwasiku.sasa hivi karudisha namba.
 
Kiwango sahihi inategemea na afya yako ikoje...kama afya mgogoro acha kabisa utakufa
 
Serikali imeacha uhuru mno pombe inauzwa tu ovyo2 kila mahali TUJIFUNZE India kunywa ni sehemu maalumu tu na kiingilio ni buku 4 yaani unatoa kiingilio kwanza ndo anaruhusiwa kupata bia
India hii ya kina Amita bachaniiiiiii

Sifa za india..walev pombe kila kona ,wachafu balaaaa,maskiniiii kule gongooooo mpka selikar imeamua kukaaa pembeni lig ngumu,........
 
Wazee wa nyama choma mpoo..!
Kwa umeng'enyaji mzuri minyamanyama yaani mbuzi choma, ng'ombe choma au mkubwa wa jiko🐷
Inashauriwa unywe na pombe kali maana husaidia sana mmeng'enyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…