Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Naomba kujua faida na hasara, kiwango sahihi kiafya kwa siku, unywaji salama na kiwango hatarishi kwa siku nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwenzie alikuwa anakunywa double kick 7 mpaka 10 kwasiku.sasa hivi karudisha namba.Kuna bro mmoja kigoma yeye ni mzee wa kvant ,fegi na pool table anakunywa zile kvant ndogo mpaka 6 ila jamaa anakula vizuri kabla hajanywa na hua hayumbi
India hii ya kina Amita bachaniiiiiiiSerikali imeacha uhuru mno pombe inauzwa tu ovyo2 kila mahali TUJIFUNZE India kunywa ni sehemu maalumu tu na kiingilio ni buku 4 yaani unatoa kiingilio kwanza ndo anaruhusiwa kupata bia