Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wengine wanaokunywa bar walizozizoea wakilewa na kulala wake zao wanapigiwa simu. Kweli dignity iko wapi hapo, mke anakukuta umetapika au kujikojolea.
Wengine wenye bar wana wafungia ndani kwa usalama wao. Sasa moto utokee usiku bar wakati imefungwa ndiyo tunaimba parapanda.
Wengine hufanyiwa vitendo vichafu bila kujieleza. Sasa hela yako ikutese, kwani hujui kuwa bia mbili au tatu ndiyo mwisho wangu, nikizidisha nitaharibu?
Msiache kunywa pombe wote, manunuzi yenu yana afya katika kodi yetu.