kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Haha lazima u
ubakize na akili za kuondokea bar mkuu.Unaweza rudishwa home umebebwa๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ubakize na akili za kuondokea bar mkuu.Unaweza rudishwa home umebebwa๐๐๐
Mimi huwa nachangaa sana, hela yako mwenyewe then ikutese! Lazima tuwe na kiasi kadiri ya uwezo. Mara nyingi, mshindi si yule anayeshinda Vita pelee, bali pia, ushindi dhidi ya nafsi.Wengine wanaokunywa bar walizozizoea wakilewa na kulala wake zao wanapigiwa simu. Kweli dignity iko wapi hapo, mke anakukuta umetapika au kujikojolea.
Wengine wenye bar wana wafungia ndani kwa usalama wao. Sasa moto utokee usiku bar wakati imefungwa ndiyo tunaimba parapanda.
Wengine hufanyiwa vitendo vichafu bila kujieleza. Sasa hela yako ikutese, kwani hujui kuwa bia mbili au tatu ndiyo mwisho wangu, nikizidisha nitaharibu?
Msiache kunywa pombe wote, manunuzi yenu yana afya katika kodi yetu.
Drink responsibly,because Pombe si chai...Wengine wanaokunywa bar walizozizoea wakilewa na kulala wake zao wanapigiwa simu. Kweli dignity iko wapi hapo, mke anakukuta umetapika au kujikojolea.
Wengine wenye bar wana wafungia ndani kwa usalama wao. Sasa moto utokee usiku bar wakati imefungwa ndiyo tunaimba parapanda.
Wengine hufanyiwa vitendo vichafu bila kujieleza. Sasa hela yako ikutese, kwani hujui kuwa bia mbili au tatu ndiyo mwisho wangu, nikizidisha nitaharibu?
Msiache kunywa pombe wote, manunuzi yenu yana afya katika kodi yetu.
Msisahau na wale wake za watu na visichana vya chuo tunavyovimufumua marinda kisa savannah...muwakumbushe na haoWengine wanaokunywa bar walizozizoea wakilewa na kulala wake zao wanapigiwa simu. Kweli dignity iko wapi hapo, mke anakukuta umetapika au kujikojolea.
Wengine wenye bar wana wafungia ndani kwa usalama wao. Sasa moto utokee usiku bar wakati imefungwa ndiyo tunaimba parapanda.
Wengine hufanyiwa vitendo vichafu bila kujieleza. Sasa hela yako ikutese, kwani hujui kuwa bia mbili au tatu ndiyo mwisho wangu, nikizidisha nitaharibu?
Msiache kunywa pombe wote, manunuzi yenu yana afya katika kodi yetu.
Nikipiga ulabu yani napiga kimombo, malkia Elizabeth anasubiri...Mshana Jr
Naomba uweke hapa ile video ya jamaa kapanda juu ya kiti pombe imemkolea akiwa anacheza akasarura bukta na boksa na kuacha mambo hadharani...๐ .
Lengo sio kumfeshehesha ila kuna wataokuja kusema picha ikwapi....!
Asprin njoo kidogo...
Ukishiba K Vant bila kula huwa unaishia kuongea kiinglish au unaanzisha masumbwi..?!!๐๐
Pombe ni nzuri sana ila tuu ukiitumia sawia.
Nikipiga ulabu yani napiga kimombo, malkia Elizabeth anasubiri...
K Vant ibarikiwe sana
Network imenikatia nikiwa njian narud nyumban na km ningekuwa peke yangu sijui ningefika vp nyumban maana ni ghafla tu nilianza kuona hali sio ikabid niombe msaada wa mtu niliyekuwa nae.Ukiona network inaelekea kukata ondoka haraka bar na ikiwezekana be a chupa mbili umalizie nyumbani.
Khaaaaa... imebidi nichomoe shati ghafla.Daah babu nimesoma vibaya...๐๐๐
Hilo neno kimombo limesomeka vingine kabisa blangatani kwangu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Labda niko nyegezi sina habari...๐ค๐ค๐ ๐ ๐
Khaaaaa... imebidi nichomoe shati ghafla.
Ningeadhirika hadharani na umri huu