Nimepita chap nikajua Kuna pichaWengine wanaokunywa bar walizozizoea wakilewa na kulala wake zao wanapigiwa simu. Kweli dignity iko wapi hapo, mke anakukuta umetapika au kujikojolea.
Wengine wenye bar wana wafungia ndani kwa usalama wao. Sasa moto utokee usiku bar wakati imefungwa ndiyo tunaimba parapanda.
Wengine hufanyiwa vitendo vichafu bila kujieleza. Sasa hela yako ikutese, kwani hujui kuwa bia mbili au tatu ndiyo mwisho wangu, nikizidisha nitaharibu?
Misachte kunywa pombe wote, manunuzi yenu yana afya katika kodi yetu.
Ww tulia kunywa mirinda hapo Tandika wacha tulipe kodiWengine wanaokunywa bar walizozizoea wakilewa na kulala wake zao wanapigiwa simu. Kweli dignity iko wapi hapo, mke anakukuta umetapika au kujikojolea.
Wengine wenye bar wana wafungia ndani kwa usalama wao. Sasa moto utokee usiku bar wakati imefungwa ndiyo tunaimba parapanda.
Wengine hufanyiwa vitendo vichafu bila kujieleza. Sasa hela yako ikutese, kwani hujui kuwa bia mbili au tatu ndiyo mwisho wangu, nikizidisha nitaharibu?
Misachte kunywa pombe wote, manunuzi yenu yana afya katika kodi yetu.
Ukiona network inaelekea kukata ondoka haraka bar na ikiwezekana be a chupa mbili umalizie nyumbani.Ila pombe ikizid sio kabisa,weekend hii ilitaka kunipeleka ndivyo sivyo.Tunywe kwa kias jaman.Ila tatizo unaweza ukawa unakunywa unaona hulewi ila ghafla tu unaanza kuona network zinakata