Unywaji wa pombe kupindukia husababishwa na kutokujua kiwango cha unywaji

Mimi huwa nachangaa sana, hela yako mwenyewe then ikutese! Lazima tuwe na kiasi kadiri ya uwezo. Mara nyingi, mshindi si yule anayeshinda Vita pelee, bali pia, ushindi dhidi ya nafsi.
 
Drink responsibly,because Pombe si chai...
 
Urafi,Sifa za kijinga,mashindano,kuonyesha ubabe na ushamba
 
Parapanda Italia paranda
Parapanda Italia parapanda.....
Daa!! Kumbe jamaa hajafa, K-Vant imemzimisha!
Ghafla anazinduka!(jeneza liko chumbani),
anapepesa macho huku na huku, anawaza, ( hee! niko mbinguni nini?, hao malaika wanaimba!!)
 
Msisahau na wale wake za watu na visichana vya chuo tunavyovimufumua marinda kisa savannah...muwakumbushe na hao
 
Mbona mnapenda kuihusisha pombe kwenye machukizo yenu masta??? Iacheni pombe iwe huru mnaisema sema sana
 
Nikipiga ulabu yani napiga kimombo, malkia Elizabeth anasubiri...

K Vant ibarikiwe sana
 
Nikipiga ulabu yani napiga kimombo, malkia Elizabeth anasubiri...

K Vant ibarikiwe sana

Daah babu nimesoma vibaya...πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

Hilo neno kimombo limesomeka vingine kabisa blangatani kwangu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…

Labda niko nyegezi sina habari...πŸ€”πŸ€”πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ukiona network inaelekea kukata ondoka haraka bar na ikiwezekana be a chupa mbili umalizie nyumbani.
Network imenikatia nikiwa njian narud nyumban na km ningekuwa peke yangu sijui ningefika vp nyumban maana ni ghafla tu nilianza kuona hali sio ikabid niombe msaada wa mtu niliyekuwa nae.
 
Daah babu nimesoma vibaya...πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

Hilo neno kimombo limesomeka vingine kabisa blangatani kwangu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…

Labda niko nyegezi sina habari...πŸ€”πŸ€”πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Khaaaaa... imebidi nichomoe shati ghafla.

Ningeadhirika hadharani na umri huu
 
Khaaaaa... imebidi nichomoe shati ghafla.

Ningeadhirika hadharani na umri huu

Aahahahahhaaaa

Hutembei na funguo nyingi, au mabetri makubwa yale ya kuweka kwenye tochi au sarawili haikuwa na mifuko ya kuweka mikono mfukoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…