Uoga na aibu ndo muhimili mkuu wa umasikini na ufukara

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
UOGA NA AIBU NDO MUHIMIL MKUU WA UMASIKINI NA UFUKARA.

Leo hii mtaani wamejaa Graduates, Majumbani wamejaa Magraduate,Kazini watu wanafanya kazi huku wana nung'unika tu.

Leo hii Wazazi/walezi wanalea watu hadi wa miaka 30 kisa kamaliza chuo then kaaa nyumbani kisa eti hajapata kazi.

Wengine tunaishi kwa mashemeji yaani shemeji ananitunza mimi na Dada angu. Hahaaaa

Wengine tunaishi kwa Wajomb,MashangaziBaba wa ubatizo,babu,bibi na ladhalika.

KISA CHA HAYO YOTE NI UOGA NA AIBU

Aibu na Uoga sasa inafichwa kwenye kisingizio cha sina mtaji au sina pesa.

AIBU na UOGA ni kwa sababu hizi.

-Kuonea aibu ndugu jamaa na marafiki
-Kuobea aibu majirani
-Kuonea aibu wafanyakazi wenzangu
-Kuonea aibu Baba mkwe na Mama mkwe
-Kuonea aibu Mchumba/mme/mke

KAMA Kuna ulazima wa kuonea aibu basi wanao paswa kuonewa aibu ni walio kuzaa, wakakulisha, wakakupeleka hospitali, wakakuvisha nepi,

How come unawaonea aibu third part?

SIKU AIBU NA UOGA VIKITUONDOKA NDO HAPO MAFANIKIO YATAKAPO ANZIA.

Kamwe na Daima Aibu na Uoga haviwezi kaa pamoja na mafanikio.

By
Chasha Farming

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
True that... Kuna mtu mzima nimemkuta anaosha masufuria ya kupikia kwenye Hotel moja mtaani, mi nikajua anafanya hivyo ili apewe chakula kumbe ndio mwenye Hotel na kumbe ndio mpishi mkuu mwenyew na ana wafanyakazi wengine wa kike wa kuhudumia ,,,asee aibu yako umaskini wako.
 
Huo ndo ukweli Mchungu hakuna kinacho tukwamisha ziaidi ya Aibu kuu na Uoga wa kupindukia.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
UOGA NA AIBU NDO MUHIMIL MKUU WA UMASIKINI NA UFUKARA.

Leo hii mtaani wamejaa Graduates, Majumbani wamejaa Magraduate,Kazini watu wanafanya kazi huku wana nung'unika tu.

Leo hii Wazazi/walezi wanalea watu hadi wa miaka 30 kisa kamaliza chuo then kaaa nyumbani kisa eti hajapata kazi.

Wengine tunaishi kwa mashemeji yaani shemeji ananitunza mimi na Dada angu. Hahaaaa

Wengine tunaishi kwa Wajomb,MashangaziBaba wa ubatizo,babu,bibi na ladhalika.

KISA CHA HAYO YOTE NI UOGA NA AIBU

Aibu na Uoga sasa inafichwa kwenye kisingizio cha sina mtaji au sina pesa.

AIBU na UOGA ni kwa sababu hizi.

-Kuonea aibu ndugu jamaa na marafiki
-Kuobea aibu majirani
-Kuonea aibu wafanyakazi wenzangu
-Kuonea aibu Baba mkwe na Mama mkwe
-Kuonea aibu Mchumba/mme/mke

KAMA Kuna ulazima wa kuonea aibu basi wanao paswa kuonewa aibu ni walio kuzaa, wakakulisha, wakakupeleka hospitali, wakakuvisha nepi,

How come unawaonea aibu third part?

SIKU AIBU NA UOGA VIKITUONDOKA NDO HAPO MAFANIKIO YATAKAPO ANZIA.

Kamwe na Daima Aibu na Uoga haviwezi kaa pamoja na mafanikio.

By
Chasha Farming

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

UOGA NA AIBU NDO MUHIMIL MKUU WA UMASIKINI NA UFUKARA.

Leo hii mtaani wamejaa Graduates, Majumbani wamejaa Magraduate,Kazini watu wanafanya kazi huku wana nung'unika tu.

Leo hii Wazazi/walezi wanalea watu hadi wa miaka 30 kisa kamaliza chuo then kaaa nyumbani kisa eti hajapata kazi.

Wengine tunaishi kwa mashemeji yaani shemeji ananitunza mimi na Dada angu. Hahaaaa

Wengine tunaishi kwa Wajomb,MashangaziBaba wa ubatizo,babu,bibi na ladhalika.

KISA CHA HAYO YOTE NI UOGA NA AIBU

Aibu na Uoga sasa inafichwa kwenye kisingizio cha sina mtaji au sina pesa.

AIBU na UOGA ni kwa sababu hizi.

-Kuonea aibu ndugu jamaa na marafiki
-Kuobea aibu majirani
-Kuonea aibu wafanyakazi wenzangu
-Kuonea aibu Baba mkwe na Mama mkwe
-Kuonea aibu Mchumba/mme/mke

KAMA Kuna ulazima wa kuonea aibu basi wanao paswa kuonewa aibu ni walio kuzaa, wakakulisha, wakakupeleka hospitali, wakakuvisha nepi,

How come unawaonea aibu third part?

SIKU AIBU NA UOGA VIKITUONDOKA NDO HAPO MAFANIKIO YATAKAPO ANZIA.

Kamwe na Daima Aibu na Uoga haviwezi kaa pamoja na mafanikio.

By
Chasha Farming

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Umefunguka ukweli mtupu
 
Haya tutangazie biashara yako sasa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Safi sa

Safi sana,

Yani ndio visingizio vya siku hizi,
Utasikia Sina mtaji au nasubiria magufuli atangaze kazi, kweli!!!!?

Yani inasikitisha kuona msomi alietumia zaidi ya miaka 16 kukaa darasani kupata maarifa na mpaka akaipata shahada ya kwanza, eti anakosa cha kufanya na hana cha kufanya zaidi ya kusubiria TRA, Bank, NGO's, Private sector au Serikalini watangaze kazi, kisha yeye atume maombi na kusuburia majibu tu!!!

Hivi hayo ndio makusudio yetu ya kuishi na tuliosoma tu!!?,

Ki ukweli kazi na biashara zipo nyingi, ila biashara Lazima uanzie chini, na Lazima ukubali kujishusha kwa muda Fulani,
Hapo kwenye kujishusha katika kuanzisha kitu au biashara ndogo ndio vijana wasomi wanaona kwao ni ugonjwa mkubwa,

Na ukiwaeleza habari hizi wanapinga kwa nguvu zote na kutoa matusi juu,

Haya hili ni jiwe la gizani kama limekupata sorry
 
Back
Top Bottom