Uoga na aibu ndo muhimili mkuu wa umasikini na ufukara

Uoga na aibu ndo muhimili mkuu wa umasikini na ufukara

Tena aibu hii wanayo sana wanaume tena awe na ka degree umwambie tulime tuanze na ka heka kamoja hizo dharau sasa
 
Haya tutangazie biashara yako sasa.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu unataka kazi yangu kwa ajili upate Hapitite? au uoate Busta?

Jina langu na Avata zinaeleza na pia iko Verfied kabisa.

AIBU na UOGA ndo Muhimumi wa Kuto fanikiwa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Haya tutangazie biashara yako sasa.

Post sent using JamiiForums mobile app
Hizi ndo moja ya sababu kwamba oo mbona fulani sijui mtaji amepewa na wazazi mara fulani aliiba ndo akawa tajiri.

Angali wewe kama wewe na sio mimi kama mimi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
UOGA NA AIBU NDO MUHIMIL MKUU WA UMASIKINI NA UFUKARA.

Leo hii mtaani wamejaa Graduates, Majumbani wamejaa Magraduate,Kazini watu wanafanya kazi huku wana nung'unika tu.

Leo hii Wazazi/walezi wanalea watu hadi wa miaka 30 kisa kamaliza chuo then kaaa nyumbani kisa eti hajapata kazi.

Wengine tunaishi kwa mashemeji yaani shemeji ananitunza mimi na Dada angu. Hahaaaa

Wengine tunaishi kwa Wajomb,MashangaziBaba wa ubatizo,babu,bibi na ladhalika.

KISA CHA HAYO YOTE NI UOGA NA AIBU

Aibu na Uoga sasa inafichwa kwenye kisingizio cha sina mtaji au sina pesa.

AIBU na UOGA ni kwa sababu hizi.

-Kuonea aibu ndugu jamaa na marafiki
-Kuobea aibu majirani
-Kuonea aibu wafanyakazi wenzangu
-Kuonea aibu Baba mkwe na Mama mkwe
-Kuonea aibu Mchumba/mme/mke

KAMA Kuna ulazima wa kuonea aibu basi wanao paswa kuonewa aibu ni walio kuzaa, wakakulisha, wakakupeleka hospitali, wakakuvisha nepi,

How come unawaonea aibu third part?

SIKU AIBU NA UOGA VIKITUONDOKA NDO HAPO MAFANIKIO YATAKAPO ANZIA.

Kamwe na Daima Aibu na Uoga haviwezi kaa pamoja na mafanikio.

By
Chasha Farming

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Safiii

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa yeyote mwenye dili za pesa hata Kama ni za kutumia nguvu kwa hapa Moshi njoo inbox tusaidizane mi nataka pesa ya kianzio tu Nina mpango wa kufuga

Tatizo mtaji sina,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa mkuu tukomae tu maana vyeti havisaidii kipindi hiki Nina Imani Kuna watu wanaweza kutusaidia hum hata hizi kazi ngum ili pengine ndoto zetu zitimie

Tunaombeni watanzania wenzetu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Kaka, Nimelivaa jukumu la kuitunza familia nikiwa bado kijana mdogo sana, lazima tukubali ukubwa na pia tukubali kujitoa kwa ajili ya wenzetu ambao wanatutegemea.
 
Back
Top Bottom