Uoga umewaingia mikia fc baada ya marefa kupigwa mkwara mzito

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Baada ya wadau wanaolitakia mema soka la bongo kupiga kelele na kulalamikia marefa wanavyoisadia simba koko ni wazi kabisa kelele zimewafikia wahusika na wameingia upepo...

Simba kushusha mziki wote dhidi ya timu dhaifu ya jkt tanzania sio dalili nzuri kabisa...

Poleni sana mikia huu ni mwanzo tu,marefa wakibadilishwa hadi Mo ataingia uwanjani lakini hamtopata ushindi wa aina yoyote.
 
We hujielewi ko kikosi kikipangwa ivo ndo uoga
 
Yanga mnafeli sana,ukitaka ushinde Mind game unatakiwa uwe na akili zaidi ya unayetaka kumchezea.Hizi ni Mind Game badala mbaya sana Sisi Simba tuko imara zaidi kiakili kuliko Yanga ndio maana mnafeli kila siku mnalalama kila siku sisi kazi yetu ni kulamba points tu.Poleni sana
 
We Mzee,hawa ni wachezaji wetu unatupangia jinsi ya kuwatumia??Unafeli sana Mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…