Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Baada ya wadau wanaolitakia mema soka la bongo kupiga kelele na kulalamikia marefa wanavyoisadia simba koko ni wazi kabisa kelele zimewafikia wahusika na wameingia upepo...
Simba kushusha mziki wote dhidi ya timu dhaifu ya jkt tanzania sio dalili nzuri kabisa...
Poleni sana mikia huu ni mwanzo tu,marefa wakibadilishwa hadi Mo ataingia uwanjani lakini hamtopata ushindi wa aina yoyote.