kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
- Thread starter
- #21
mkuu ngoja niongee na mwana kwanza kama ya mamba mweusi ipo.lkn ya kenge blue ipom
kuu nilitaka ngozi ya mamba mweusi mkubwa, niliagizwa na mganga wangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ngoja niongee na mwana kwanza kama ya mamba mweusi ipo.lkn ya kenge blue ipom
kuu nilitaka ngozi ya mamba mweusi mkubwa, niliagizwa na mganga wangu!
mkuu unayo ya madevu au ya peleTufanye barter trade mzee nna cocaine kete kadhaa hapa njoo tufanye biz
mpunga usihofu na kama utapata kontena moja tu la mchanga wa dhahabu yaliopo bandarini na tausi wa ikulu magogoni tutamalizana pia!mkuu utatoa ngapi ivo vitu vinapatika bila ya tabu wewe tu. mpunga upo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji482] [emoji482] [emoji481] wacha nimalizie Jibapa langusalaam wadau
Naomba niingie Kwenye mada moja kwa moja,Baada ya kuingia Chaka nimeibuka na biashara moja Nzuri tu kwa aliye tayari,
biashara yenyewe natafuta wateja nina meno matano ya tembo makubwa,pembe moja ya faru na ngozi moja ya chui bei nzuri ila sitaki dalali na vizuri mnunuzi uje tuonane
usafiri wa kukuletea mpaka ulipo upo,jamani uoga wako ndio umaskini wako,jamani nchi hii ipofikia kila mmoja achukue chake mapema
kama upo tayari njoo pm tuyapange
ahsanteni