Uonevu dhidi ya Mbowe: Viongozi wa dini toeni kauli ya kitume

Uonevu? Una maana gani kisema kaonewa? Wewe unatembea na Mbowe? Mbowe aliwahi kusafiri nje ya Nchi kwa miezi si chini ya minne kuanzia mwishoni mwa mwaka jana mpaka kifo cha JPM hakuwepo. Unajua alikuwa wapi na nani na wanafanya nini? Acheni vyombo vya dola vifanye kazi yake.
 
Hata malcolmex alikuwa anatetea haki za wa amerika weusi lakini histolia yake pia inaonyesha alikua mharifu katika maisha yake binafsi
Sasa mbowe mnamtetea kivipi kuhusu mauwaji na michngo yake binafsi?

Kuhusu Chacha Wangwe na zito kukoswakoswa kupewa sumu.
Na wengine alio wadhuru.
Hilo mnasemaje?
Ni sera ya umma au ni uharifu binfsi?

 
Halafu utasikia hawa wanaojiita viongozi wa kiroho wanasema amani na kuhimiza sadaka, shame on them. Wapo wachache lakini wasiozidi watano wa kuhesabiwa nao Mungu awabariki
 
Watakuwa wanafik na wao, wasitoe tamko wakati anavunjiwa bilicanas watoe tamko leo kahifadhiwa sehemu salama?
 
Kuhusu Chacha Wangwe na Zitto kuwekewa sumu halafu watu hawakuchuliwa hatua za kisheria, hilo litakuwa ni tatizo la mamlaka husika na si la Mbowe.
Kama ambavyo Lissu alivyofanyiwa ujambazi hadi leo mamlaka husika ziko kimya.

Tatizo kwenye issue la Mbowe ni consistency. Kwanza kawekwa ndani kwa kutaka kufanya kusanyiko bila kibali. Walipoona hili halina mashiko, wakahamia kwenye ugaidi na uuaji. Watanzania siyo idiots - wana akili kuliko polisi na wafuasi wa polisi (I hope wewe si mmoja wa wafuasi wa polisi)!
 

Huwa nashanga akili ya kijinga ya watu kama Msigwa. So Sasa Mama Samia amekuwa afisa usalama au Polisi. Kuna mtu anaonekana sasa Hotelini, then ten minutes later anaonekana mortuary.

Au dunia Hii Kuna watu huwa hawafanyi makosa. Sabaya alipokamatwa nderemo. What about Mbowe. Has he another make up in his body. Does he come from another sphere? Allow the process….
 
Tuna wajasiriamali si viongozi wa dini
 
Mpira utarudishwa kati tena soon kama March. Mungu hataniwi!
 
Viongozi wa dini?hakuna viongozi wa dini ndani ya nchi hii, ila Kuna makada wa ccm tu
 
Hakuna Viongozi wa Dini wanaotetea Wahalifu waliojificha kwenye mwamvuli wa Siasa.

Viongozi wa Dini washughulike na Dini na Waumini wao Makanisani na Misikitini, Vyombo vya Usalama vitashughulika na Wahalifu. Hakuna namna nyingine.
 
N
Ninyi wafuasi wake mmeshindwa kumsaidia Gaidi Mbowe kama Zuma anavyosaidiwa na wafuasi wake hadi muombe pooh kwa viongozi wa dini? Anyway, labda Viongozi wa dini wahuni kama Mwamakula, Niwemugizi na Bagonza wanaweza wakaropokaropka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…