Cleverman324
JF-Expert Member
- Nov 17, 2018
- 389
- 631
Siku hii ya Jumamosi tarehe 29 May..nimekutana na madhila ya kupigwa kudhalilishwa na kutukanwa na police..tukio limetokea Mbagala Rangi tatu maeneo ya Benki ya Akiba..
Nilitokea Bank kuweka pesa ila baada ya kumaliza zoezi na kutoka nje kwa mshangao niliitwa "we fala potea hapo."
Cha kushangaza sikiwa nimesimama nilikuwa kwenye mwendo, baada ya kusikia hivyo mi nikaongeza mwendo ila niliskia tena "we m*enge kaa chini," nilivyosimama nilipigwa mtama na tanganyika jeki juu. Wakanipeleka kwenye chumba chao na kipigo heavy kiliendelea sikupewa nafasi ya kufanya chochote zaidi begi lilifunguliwa vitu vyangu vilimwagwa chini. Nmetukanwa mara **** la mama ako mara uta*irika.
Baada ya kutii kila kitu na kiwasujudia waliniachia huku wananipiga makofi wakicheka..
Hili kisheria likoje?