Uonevu kwa raia na manyanyaso

Ukiona mtu kavaa uniform ya jeshi la polisi Tanzania hata kama ni mwanao mkwepe kwa kadiri ya uwezo wako wote. Mimi ningekuwa daktari hakuna mgonjwa wangu ambaye ni polisi angeweza kuepuka kifo. Kila anayefika kwangu ningempa kidonge cha sumu nihakikishe nimempa na maji ameze akafie mbele kwa mbele.
 
Pole Sana kiongozi hao jamaa walitaka kukubambikia kesi ya hujumu uchumi!
 
Hakika wewe ni FALLA.
unakubali je hilo?
Baada ya kukuachia ulipaswa uwachukulie hatua.
Ungeenda central kiwashitaki kwa wakubwa wao
 
Inawezekana kuna raia wamerekodi mkuu sio lazima awe yeye na ushahidi!
Ya Mungu Mengi huwezi jua labda kweli kuna raia tayari wanayo hiyo video, siku hizi habari zinasambaa Kama moto!!
 
Mkuu aamini nakuambia,kilio chako lazima kitawafikia wenye Mamlaka,na watalifanyia kazi,ila usiache kuja kutupa mrejesho Mambo yakienda vizuri!!
 
Tatizo lako umesahau kuwa hao majamaa mazoezi mengi halafu mechi hakuna ukizingua tu kidogo unabutuliwa.Bila shaka uliwanyea mbovu na ulikuwa unakoment jamii forum wakati upo eneo la benki ulipoambiwa potea hapo ukaleta ujuaji sasa wamekuonesha wanajua zaidi yako. Pole sana ila sema kimo moyo tu ujuaji wangu umenicost mpaka nikachezea kichapo kizembe.
 
Hata Kama mazowezi ni mengi,lakini jiepusheni sana kupiga Raia wasiokua na hatia! Mtakuja kutana na Jasusi alafu mziponze hadi familia zenu zisizokua na hatia!!
 
Kuja hapa ni kupaza sauti iwe msaada kqa wengi.mbona tumeshasolve iyo ishu na mpaka leo saa nne kila kitu kimeisha..ukiweza kufikirisha ubongo wako utakuwa bora zaidi ya ulivyo
 
Peleka malalamiko Kwa Benki husika, kama mteja wao kwamba umepigwa na kudhalilishwa ndani ya eneo lao bila kosa wakati umetoka kupata huduma kwao.

Wao Benki watarejea kwenye CCTV Camera zao kuweza kuona kilichotendeka na wao kama Wateja kwa Jeshi la Polisi watapeleka malalamiko kuwa Walinzi wao wananyanyasa Wateja wanaokuja kupata huduma Benki na kwamba inatishia mahusiano yao ya kibiashara na wateja.

Hapo Nina imani hatua zitachukuliwa.
 
Tatizo lenu huwa hamsemi ukweli chanzo nini unachotaka kituaminisha kuwa hao jamaa wanapiga wateja wanaokwenda Bank bila sababu sasa cha ajabu watu tunaenda Bank kila siku wala hayo hayatukuti na shida yenu mnaambizana mtaani kuwa hamuwaogopi hao jamaa hivyo mnatest mitambo, hao wanaitwa members of the force ni soldiers hao sio wenzako sasa ukileta dharau zako wanakuchakaza sababu wapo kwenye eneo lao la lindo hawajakufata nyumbani kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…