Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Ndiyo mimi nimefanya kazi ya kusaili wengineIlikuwa lazima upate?
Ulikata wenzio na wewe umekatwa.Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa,inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo. Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.
Fala Sana huyo boss Mimi mmojawapo kanikata 😀😀halafu aliniuliza swali babaifu...hakujua mwenzake Nina biznez hata akinikata poa tu......Mkuu bila shaka wapo ambo uliwakata na bila sababu za msingi siyo?.
Walimu walalamishi mno.Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa,inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo. Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.
Sawaa tuu,mlijifanya kujuwaa Sana.Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa,inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo. Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah hii tz hii sihamiNimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa,inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo. Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.
Walimu walitiliwa shaka kuhujumu zoezi baada ya kununia nyongeza ya mishahara.Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa, inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo.
Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.
Laki 5 eti ndo watu wanaliliaHivi kwani mpunga ni shing ngapi!? Maana malalamiko ni mengi mnoo!?
Ahahahahah! Labda uulizaji wako maswali ya usaili uliwatia mashaka wakubwa wako! Ahahahahah!Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa, inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo.
Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya kesho. Rai yangu kwa Serikali wafuatilie hili kwa kina kila mahali. Huu ni uonevu mkubwa sana.