UONEVU: Tanesco Arusha pitieni upya migawo yenu

UONEVU: Tanesco Arusha pitieni upya migawo yenu

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,944
Reaction score
2,032
Habari wakuu humu ndani.

Tangu asubuhi wamekata huduma yao mitaa ya nane nane, jioni wakurudisha dakika 5 wamepita nao hadi muda huu lakini mitaa mingine umeme bado wanao.

Ni utaratibu upi unatumika kwenye migawo au hadi na sisi tumsubili Mwenezi akizuru Arusha tumpe kero zetu kuu?
 
Kaka wachana na hiyo kiboko nimeikuta Mbeya Uyole nina 3 weeks wanakata umeme daily, day na night
 
Back
Top Bottom