Habari wakuu humu ndani.
Tangu asubuhi wamekata huduma yao mitaa ya nane nane, jioni wakurudisha dakika 5 wamepita nao hadi muda huu lakini mitaa mingine umeme bado wanao.
Ni utaratibu upi unatumika kwenye migawo au hadi na sisi tumsubili Mwenezi akizuru Arusha tumpe kero zetu kuu?