Uonevu tangu 1948 Palestine

Uonevu tangu 1948 Palestine

Wapo wanaojaribu kuifuta Palestine kwa kutumia mbinu zote ziwe za nguvu za kijeshi kama vile marekani au kiudini - lskini Palestine ilikuwepo na uwezo wa Allah itakuwepo. Itakavyokuwa kila kitu kina mwisho. Palestine itarudi. Imepita miaka 75 tangu wakandamizaji, wabaguzi wa kizayuni walowezi wa kizungu waliopewa nchi sio yao, kuanza mauaji ambayo mpaka leo yanaendelea,
 
Mtaokoteza sana viji-quote! Huyo m'bibi ni yahud pure; ni yahud kweli kweli Netanyahu arudi shule kujifunza uyahudi!

Tangu lini yahud akaaminika kwa kauli zake? Hamjui mshike lipi muache lipi mumebaki kudandia kauli kukidhi haja zenu ovu! Mtaifuta Israel? That's the last thing that might happen if and only if no God!
 
[/QUOTE

Wapo wayahudi wa aina mbili. Unalijua hilo?
Huyu anarhibitisha alikuwa mpalestine kabla ya 1948.
Upaki kidogo ule wa watoto wateule wa Mungu ambayo ni imani potofu utumie akili kuchambua mambo.
 
Rais wake alikuwa nani?

Israel ina Waziri mkuu kama vile India anakuwa hana sauti. Nchi inaongozwa na Waziri mkuu kama vile sasa shetani Netanyahu wa Israel na Modi wa India. Uingereza ni nidhamu hiyo hiyo ila wao hawana raisi . Kazi ya raisi anakuwa ni malkia au mfalme.
 
Wapo wanaojaribu kuifuta Palestine kwa kutumia mbinu zote ziwe za nguvu za kijeshi kama vile marekani au kiudini - lskini Palestine ilikuwepo na uwezo wa Allah itakuwepo. Itakavyokuwa kila kitu kina mwisho. Palestine itarudi. Imepita miaka 75 tangu wakandamizaji, wabaguzi wa kizayuni walowezi wa kizungu waliopewa nchi sio yao, kuanza mauaji ambayo mpaka leo yanaendelea,
Mkuu umetaja na Allah kabisa. Nitajie AYA yoyote kwenye KITABU inayoitambua palestine, halafu pia nitajie AYA inayopinga Wayahudi na ardhi yao. Fanya hivo fasta mkuu
 
Israel ina Waziri mkuu kama vile India anakuwa hana sauti. Nchi inaongozwa na Waziri mkuu kama vile sasa shetani Netanyahu wa Israel na Modi wa India. Uingereza ni nidhamu hiyo hiyo ila wao hawana raisi . Kazi ya raisi anakuwa ni malkia au mfalme.
Hujajibu swali mkuu punguza hasira na usome tena swali kisha ulijibu. Nauliza tena iwe ni wazir mkuu au ni Rais alikuwa nani
 
Israel ina Waziri mkuu kama vile India anakuwa hana sauti. Nchi inaongozwa na Waziri mkuu kama vile sasa shetani Netanyahu wa Israel na Modi wa India. Uingereza ni nidhamu hiyo hiyo ila wao hawana raisi . Kazi ya raisi anakuwa ni malkia au mfalme.
Punguza speed soma ulichoandika kisha urudie tukuelewe.. Mara waziri mkuu kama India blah blah baiskeli bila break
 
Waziri mkuu wa Zamani wa Israel Golda Meir anathibitisha kuwepo kwa taifa la Palestine.

View: https://youtube.com/shorts/EIIKBbl9F2U?si=Fq2OslOjpmOpTMuv

Jf kuna shida ya uelewaji haswa lugha ya bibi. Heading inasema uonevu tangu 1948..

Ukurupukaji ni mwingi watu wa mnyaz wanadanganya kwa uwazi na ujinga wamefanukiwa kumuingiza ujinga raisi wa France Emmanuel Marcon eti Israel imepata uhuru kwa idhuni ya UN yaani hata Watoto walicheka..

Hiyo history ya 1948 ukiisoma utabakia mdomo wazi na utajiuliza imekuwaje Israel wana huruma hivyo...

1948 Waarabu after mkutano wa UN wakajilusanya kuua kila myahudi Genocide ethnic cleansing.. mziki ukaanza matokeo wakabondwa wao Israel alichofanya kufukuza na wengine kuwaacha waishi pamoja.. ila ilitakiwa aue wote au kutimua wote tusingesikia Arabs ndani ya Israel, na Arabs waliopo Israel wanaraha na hawatakii kusikia huu upuuzi wenu kwani wana hadi wabunge na majudge..

Anachozungumzia Mama huyo ni Palestine under United Kingdom not Arabs Arabs walikuwa vibarua tu kipindi hicho ukiacha pact ya katiri Umar aliyeivamia Jerusalem maiaka hiyo akaacha chembe chembe chafu za waarabu ambao hawatakiwi na nduguzo Arabs hata ukimbizi.. ni same na waarabu wa zenji walilataliwa kurudi Oman
 
Unajitoa ufahamu ? Rais wa Palestina alikuwa Nan ?
 
Unao ufundi wa kupotosha watu na hii ni mojawapo ya sifa ya hawa Mazayuni. Ulioandika yote ni uongo. Tanganyika ilikuwepo mwaka wa 1951 chini ya ukoloni wa Uingereza. Labda hii itarudisha akili yako
 
Punguza speed soma ulichoandika kisha urudie tukuelewe.. Mara waziri mkuu kama India blah blah baiskeli bila break
Nilikuwa najaribu kukufahamisha kutoa ujinga kuwa kuna baafhi ya nchi waziri mkuu ndiye raisi. Umefahamhu?
 
Mkuu umetaja na Allah kabisa. Nitajie AYA yoyote kwenye KITABU inayoitambua palestine, halafu pia nitajie AYA inayopinga Wayahudi na ardhi yao. Fanya hivo fasta mkuu
[
Huo ni ujahili wa hali ya juu. Je Tanzania imo? Au Kenya? Au America?
Acha kuimini pandikizi potofu eti watoto wa Mungu , kwani wewe ni mtoto wa shetani?😂
Watoto teule walihusishwa walimuua Yesu. Warumi ( Romans) waliwaua saana
Warumi ni wakiristo. Mkiristo mwingine Hitler mjerumani miaka ya 1940-44 aliua mayahudi milioni sita. Dola za kikiristo 100 ziliwafukuza mayahudi ksbisa kwa ukorofi wao. Wayahudi hawamtambui Yesu maana wanamuona ni mwana haramu, hawamtambui Mary( mama wa Yesu) wanamuona ni malaya aliebeba mimba haramu na hawautambui ukiristo. Mbona ujinga wa hali ya juu kupandikizwa uteule.
Kwa nini wakiristo wamewauwa watoto wa Mungu?
 
Acha kuimini pandikizi potofu eti watoto wa Mungu , kwani wewe ni mtoto wa shetani?😂 wayahudi na wote binadamu ni watoto wa Mungu
Wayahudi “Watoto teule “walihusishwa walimuua Yesu. Warumi ( Romans) waliwaua saana
Warumi ni wakiristo. Mkiristo mwingine Hitler mjerumani miaka ya 1940-44 aliua mayahudi milioni sita. Dola za kikiristo 100 ziliwafukuza mayahudi ksbisa kwa ukorofi wao. Wayahudi hawamtambui Yesu maana wanamuona ni mwana haramu, hawamtambui Mary( mama wa Yesu) wanamuona ni malaya aliebeba mimba haramu na hawautambui ukiristo. Mbona ujinga wa hali ya juu kupandikizwa uteule.
Kwa nini wakiristo wamewauwa watoto wa Mungu?
 
Mkuu umetaja na Allah kabisa. Nitajie AYA yoyote kwenye KITABU inayoitambua palestine, halafu pia nitajie AYA inayopinga Wayahudi na ardhi yao. Fanya hivo fasta mkuu

Nimesema kwa Uwezo wa Allah. Ntakuelemisha . Dhulma na uonevu au majanga yoyote, Muombe Mungu akuondolee. Sasa basi hiyo kwenda kanisani juma pili, huwa mnaenda kuimba tu? Nijibu fasta fasta kwa nini Tanzania haimo kwenye biblia?
 
Kwenye Quran Israel or Wayahudi wametajwq mara nyingi sana tu; labda wewe ndio hujui. Tuachane na hata na Biblia maanake huko utasena nakudanganya. Wewe hujiulizi, wale waliondikiwa Quran wapo kimya ju ya huo mgogoro except Iran ambayo nayo wala haipigani kwa maslahi ya Uislam, yenyewe inapigana ili Iran aje kua super power middle east but anajua kikwazo kuifikia hiyo hatua ni Israel. Again, Iran kwenye Uislma haina hata mji mmoja ambao dini inautambua kama mtakatifu, as we speak, miji inayotambulia na Uislamu kama kwao ni mitakatifu ni Madina, Makkah (ipo Saudia) then kuna Jerusalem pamoja na Baghdad iliopo Iraq. Hindio miji au nchi ambazo manabii wanaotambulika na Waislamu wamewahi kuishi. Iran haipo, bora hata Misri
 
Back
Top Bottom